Ndugu msionjane

Ndugu msionjane

Umbu lako ni ndugu yako yoyote wa kike hata cousin sister wako ni umbu wako
Soma hapa
Screenshot_20190210-123613.jpeg
Screenshot_20190210-123657.jpeg
Screenshot_20190210-123842.jpeg
Screenshot_20190210-123941.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hamjazaliwa tumbo moja wala sio ndugu wa wazazi wako (shangazi na mjomba)
Waliobaki unapiga kama kawaida.
 
Huku mtaani kwetu,siku hizi watu wanachinja mbuzi tu kufuta undugu!

Baada ya hapo wanakula mzigo kwakwenda mbereee
 
Back
Top Bottom