Ndugu kujitolea bure pasipo malipo yoyote

Ndugu kujitolea bure pasipo malipo yoyote

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Wasalaam,

Je, umewahi kujitolea kufanya Kazi bure bila malipo yoyote?

Je, uliwezaje kumaliza salama? Au unatumia njia gani ili Kazi iende na maisha yako binafsi yasikwame?

Karibuni wakuu.
 
Inategemea unajitolea sehemu gani kwa malengo gani, na kwa muda gani.
All in all kitu chochote ama mafanikio yoyote kwenye maisha yanahitaji uvumilivu.

Let's meet at the top, cheers🍻
 
nilijitolea mahala flan bila hata senti 10 ...
nikaona nafwaa nikakimbia ....
huku nyuma fursa zikaanza kumwagika .......life aisee 🙌
 
Back
Top Bottom