lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #21
huyo niliyem-CC ndio mtaalam wa mambo hayo mkuu, ana elimu ya hivyo viumbe,mcheki atakusaidia sana mkuu
ok mkuu
huyo niliyem-CC ndio mtaalam wa mambo hayo mkuu, ana elimu ya hivyo viumbe,mcheki atakusaidia sana mkuu
Ni jambo la kawaida ila huyo jamaa yako amezidi mpka anakoroma na kutoka nje na kurudi anawasha redio. Wengi huwa anaweza akawa amelala anaamka na kufanya kitu kwa sekunde kadhaa au kuongea wakati mwingine mnawea mkajibishana kabisa lakini hajui kinachoendeleaaaah. kumbe ni jambo la kawaida tu
Nimecheka mpaka basi.........
Wakuu kuna jamaa yangu nilikua nimelala nae mara imefika mida ya saa saba usiku ghafla akanyanyuka kitandani uku yupo usingizini tena anakoroma akaenda mpaka nje uani mara akarudi ndani akachukua maji kwenye friji akanywa uku bado yuko usingizini tena anakoroma mara akawasha radio na kurudi kitandani yaani ajabu yenyewe anafanya yote haya akiwa yupo usingizi anakoroma wala hajikwahi wa kujigonga sehemu yoyote. wakuu nataka nimpeleke hospital lakini nataka ushauri wenu labda kuna mwenye idea yoyote na hii kitu. karibuni
Akilala huwa hasali ndio maana amini hivyo.
hali hiyo iposan ilasjui nasababswa na niniWakuu kuna jamaa yangu nilikua nimelala nae mara imefika mida ya saa saba usiku ghafla akanyanyuka kitandani uku yupo usingizini tena anakoroma akaenda mpaka nje uani mara akarudi ndani akachukua maji kwenye friji akanywa uku bado yuko usingizini tena anakoroma mara akawasha radio na kurudi kitandani yaani ajabu yenyewe anafanya yote haya akiwa yupo usingizi anakoroma wala hajikwahi wa kujigonga sehemu yoyote. wakuu nataka nimpeleke hospital lakini nataka ushauri wenu labda kuna mwenye idea yoyote na hii kitu. karibuni
Ni kawaida kuna watu wa namna hiyo
Hakikisha kabla ya kulala silaha zote umefungia
Usisahau kupiga jeans la maana gumu na kuwa makini na 0713 anaweza kukupitia huyo aisee.
Hahahahahaha! Maajabu mengine yanachekesha kweli eti anafungua friji na kunywa maji uku anakoroma, kwanza inawezekanaje iyo? Siku nyngne iktokea hebu jaribu kumkurupusha usingzn halaf ulete updates!!
Acha kumpotosha mwenzio,ni hatari kumwamsha katika hali hiyo.