Ndugu Kabudi ukitaka kupata Kiharusi jaribu kupambana na Lissu

Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .

Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .

Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .

.........Itaendelea .....
You have your right well attended

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyovyote ila ataendelea kuwa mpinzani wa serikali.
Kwa akili zako mbovu unafikiri wote wanao ipinga serikali wapo nje ya hiyo serikali?wengi wetu tumo humo serikalini lkn hatulizishwi na mambo yanavyoendeshwa ndiyo maana tunaamua kuwakosoa!
Wacha ujinga huo ndugu yangu

In God we Trust
 
Ushauri mwafaka kabisa.
 
kabudi hafikii uwezo wa tundu lissu japo asilimia 5 tu,kunukuu vifungu vya biblia sio ubingwa wa mwanasheria,bali ni ufinyu wa akili za mwanadheria ambae badala ya kujilinda na aya za vifungu vya sheria anakimbilia aya za biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isije ikawa nabishana na mtu kasoma sijui Teku sijui Udom sijui Saut huko mana yeye hawez mjua prof. ni nan kwenye nyanja ya sheria

"Tumerudi toka bukoba msibani "

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe yaeleka msiba umekuchanganya haswa................ kwani huyo Pro. unaesema yuko kwenye box au ni huyo ropo ropo ambaye mwenzake ni Mwandri aliamua kuwa comedian maana hiyo jana tuu kaondoka na aibu kisado kwa muda mchache mpk akaanza kuamua kuongea na picha ya Mwal. Nyerere ubaoni Interesting kwa kweli

Kaa chini utulie kidogo wenge likutoke ndio uanze kucomment huku
 
Kwa akili zako mbovu unafikiri wote wanao ipinga serikali wapo nje ya hiyo serikali?wengi wetu tumo humo serikalini lkn hatulizishwi na mambo yanavyoendeshwa ndiyo maana tunaamua kuwakosoa!
Wacha ujinga huo ndugu yangu

In God we Trust
Una akili fupi sana kuelewa nilichosema hapo.
Na sikutafsirii, endelea kuumiza kichwa.
 
Muswada wa vyama vya siasa na kabudi wanahusiana vipi? Yaanu umeona muswada basi wewe ukahusisha moja kwa moja na wizara ya katiba na sheria kuhusika moja kwa moja.
Waziri wa Katiba na sheria unamuondoaje kwenye sakata la Muswada kandamizi ?
 
Kama kaja kwa lengo la kupambana na Lissu hawezi atashindwa asubuhi tu, hoja zake ni za nguvu, anadhani kuzungumza kwa ukali ndio kueleweka kwa hoja, halafu hayuko systematic, nilimpuuza alipobadilika kwenye issues ya katiba.
Si tu kuzungumza kwa ukali Bali pia kuzungumza huku amekodoa mimacho kama chura (wakurya wanasema 'anabyora') atamtisha nani, mtu mwenyewe ana ndimi mbili, eti Ni kiongozi wa Kanisa la Angilikana, hivi kina Askofu Tutu wangekuwa ndumila kuwili kama akina Profesa Kabudi South Africa ingepata Uhuru kweli!!!?
 
Mungu wangu! !!! hivi kumbe Kabudi ni kiongozi wa Kanisa !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom