Ndugu Kabudi ukitaka kupata Kiharusi jaribu kupambana na Lissu

Lazima afanye kazi ya kumponda Lissu maana ndiyo platform iliyo mpeleka hiyo wizara
Kabudi ni yule mtu anayetaka sifa kwa bwana wake, hivyo anaamini ataenda kuwapa porojo wazungu. Kwa ujumla Kabudi ajitahidi kwenda kutafuta ushirikiano mwema na mataifa ya nje, lakini kujifanya anajichanganya na Lissu ataenda kuongeza uhasama kati ya Lissu na wapinzani dhidi ya serikali kwani hana uwezo wa kujibu madai ya Lissu akaeleweka. Katika vitu anavyopaswa kutokujihusisha navyo na huyo Lissu kwani Lissu kinga yake ni ukweli.

In God we Trust
 
Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .

Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .

Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .

.........Itaendelea .....

Huyu nakupa miaka miwili iliyobaki atapata kiharusi.
Take from me.
 
Atakuja kujuta kama Nape na Bunge gizani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna takataka yyt kutoka chichiemu huko bongo inayomuweza lissu

Hiyo wasahau
 
Back
Top Bottom