Ndugu Kabudi ukitaka kupata Kiharusi jaribu kupambana na Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,412
2,000
Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .

Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .

Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .

.........Itaendelea .....
 
rwamuli

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
866
1,000

Duuuuuh
 
Bartazar

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
1,031

Jiwe anahangaika sana na Lissu. Anafikiria drama za kila aina kumtowesha huyu mtu, roho inamuuma sana kuona chuma kinapumua. Alitamani Mahiga afanye jambo supernatural kumnyamazisha Mahiga kashindwa, sasa anamleta Kabudi akiamini huyu atakuwa dawa. Ni kama mtu aliyetumbukia ziwani, hawezi kuogelea na anadhani kila akionacho mbele yake kinaweza kumuokoa asizame hata kama ni jani tuu.
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
19,425

Kama kaja kwa lengo la kupambana na Lissu hawezi atashindwa asubuhi tu, hoja zake ni za nguvu, anadhani kuzungumza kwa ukali ndio kueleweka kwa hoja, halafu hayuko systematic, nilimpuuza alipobadilika kwenye issues ya katiba.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,412
2,000
Jiwe anahangaika sana na Lissu. Anafikiria drama za kila aina kumtowesha huyu mtu, roho inamuuma sana kuona chuma kinapumua. Alitamani Mahiga afanye jambo supernatural kumnyamazisha Mahiga kashindwa, sasa anamleta Kabudi akiamini huyu atakuwa dawa. Ni kama mtu aliyetumbukia ziwani, hawezi kuogelea na anadhani kila akionacho mbele yake kinaweza kumuokoa asizame hata kama ni jani tuu.
Lissu ameletwa na Mungu mwenyewe kwa malengo maalum , hakuna wakala yeyote wa Shetani atakayemuweza
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,785
2,000
Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .

Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .

Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .

.........Itaendelea .....
Uzuri ni kwamba lissu ataendelea kuwa mpinzani wa serikali iliyopo madarakana hivyo haina madhara.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,374
2,000
Kabudi ni yule mtu anayetaka sifa kwa bwana wake, hivyo anaamini ataenda kuwapa porojo wazungu. Kwa ujumla Kabudi ajitahidi kwenda kutafuta ushirikiano mwema na mataifa ya nje, lakini kujifanya anajichanganya na Lissu ataenda kuongeza uhasama kati ya Lissu na wapinzani dhidi ya serikali kwani hana uwezo wa kujibu madai ya Lissu akaeleweka. Katika vitu anavyopaswa kutokujihusisha navyo na huyo Lissu kwani Lissu kinga yake ni ukweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom