Ole Mushi: Kabudi ateuliwa kupambana na Lissu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Mh Mahiga ni Mwanadiplomasia mzuri sana amesomea maswala ya Kidiplomadia na ana PhD ya International Relations. Hana maarifa yoyote ya Sheria kwa maana ya kuisomea Sheria katika ngazi yoyote ya Elimu. Ana Degree ya Education kwa maana hiyo huyu ni mwalimu wa Arts Mzuri tu. Baadaye alijikita kwenye masuala ya kidplomasia hadi Kupata PhD.

Mh Kabudi yeye si Mwanadiplomasia kwa maana ya kusomea. Huyu ni msheria kiasili, kuanzia chini yaani Degree ya kwanza hadi PhD yake kajikita kwenye Sheria....

NINI NAKIONA?

Mabadiliko haya ni ya kiufundi kama yalivyo kwenye mpira. Unaweza ukamtoa Beki ukaingiza Mshambuliaji kwa lengo La kitafuta Matokeo muhimu uwanjani.

Kwa Sasa naona mtu ambaye anaweza kuongea Lugha na Tone anayoiongea Lisu njee ya Mipaka yetu ya Nchi ni Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Huyu anaweza akafanya Clearance ya Yale anayoongea Lisu huko njee. Natarajia wizara hii kwa sasa itapewa kibali cha kusafiri watakavyo njee ya mipaka ya nchi hii.

Uwezo wa Kabudi hauna mashaka huyu ni Nguli kweli hata akikudanganya utakuja kujua Kesho yake.....Kabudi anajua kuongea, Anajua vitu Vingi sana na mtaaluma kweli kweli.

Hebu tusubiri tuone Kabudi ataanza na Lipi kwenye wizara yake mpya. Its my prediction anaenda kuziba nafasi mahali.....

Kwa sasa CCM wanashambulia na Kulinda hii ndio tofauti ninayoiona na Upinzani. Kila likija jambo jipya CCM wanajaribu kulijibu au kutafuta namna ya kupambana nalo hata kama wanakosea. Hata hili la Kabudi kama litakuwa sawa na mtizamo wangu nawapongeza kuwa kila vita wanaipigana haijalishi wanashinda au lah.

Yote kwa Yote namtakia Kila LA Kheri katika majukumi yake mapya na sisi kama watanzania tunahitaji umoja, upendo, na Amani. Akafanikishe kumrejesha Ndugu yetu Lisu nyumbani na sio kuongeza Mvutano njee ya mipaka yetu.

#Akili Kubwa Zote ni Mali ya Rais wa Nchi zitumike kuleta mafanikio katika nchi.

Ole Mushi.
0712702602
 
siasa Mchezo mchafu ila Kabudi ni kichwa cha kuruka mtego. all the best TL tumaini pekee kwa opposition muwe macho na wahamiaji nipo kando nacheki mchuano huu ambao hautabiriki
 
Umeeleza CV zao hujatuambia watapambana vipi na lissu...
Umesema Dr. Mahiga mwanadiplomasia mashuhuri .. Unadhan nn kimememshinda kupambana na LISSU..?
tena unadhani sas hv wizara itapewa vibali vya kusafir nje zaid unafikr nn kilikuwa kinakwamisha wasipate vibali kama lengo ni kupambana na lissu..?

Hatutaki mambo ya kujifanya mko smart.. Unapotoa tuhuma jaribu kuitetea tuhuma yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Mahiga ni Mwanadiplomasia mzuri sana amesomea maswala ya Kidiplomadia na ana PhD ya International Relations. Hana maarifa yoyote ya Sheria kwa maana ya kuisomea Sheria katika ngazi yoyote ya Elimu. Ana Degree ya Education kwa maana hiyo huyu ni mwalimu wa Arts Mzuri tu. Baadaye alijikita kwenye masuala ya kidplomasia hadi Kupata PhD.

Mh Kabudi yeye si Mwanadiplomasia kwa maana ya kusomea. Huyu ni msheria kiasili, kuanzia chini yaani Degree ya kwanza hadi PhD yake kajikita kwenye Sheria....

NINI NAKIONA?

Mabadiliko haya ni ya kiufundi kama yalivyo kwenye mpira. Unaweza ukamtoa Beki ukaingiza Mshambuliaji kwa lengo La kitafuta Matokeo muhimu uwanjani.

Kwa Sasa naona mtu ambaye anaweza kuongea Lugha na Tone anayoiongea Lisu njee ya Mipaka yetu ya Nchi ni Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.

Huyu anaweza akafanya Clearance ya Yale anayoongea Lisu huko njee. Natarajia wizara hii kwa sasa itapewa kibali cha kusafiri watakavyo njee ya mipaka ya nchi hii.

Uwezo wa Kabudi hauna mashaka huyu ni Nguli kweli hata akikudanganya utakuja kujua Kesho yake.....Kabudi anajua kuongea, Anajua vitu Vingi sana na mtaaluma kweli kweli.

Hebu tusubiri tuone Kabudi ataanza na Lipi kwenye wizara yake mpya. Its my prediction anaenda kuziba nafasi mahali.....

Kwa sasa CCM wanashambulia na Kulinda hii ndio tofauti ninayoiona na Upinzani. Kila likija jambo jipya CCM wanajaribu kulijibu au kutafuta namna ya kupambana nalo hata kama wanakosea. Hata hili la Kabudi kama litakuwa sawa na mtizamo wangu nawapongeza kuwa kila vita wanaipigana haijalishi wanashinda au lah.

Yote kwa Yote namtakia Kila LA Kheri katika majukumi yake mapya na sisi kama watanzania tunahitaji umoja, upendo, na Amani. Akafanikishe kumrejesha Ndugu yetu Lisu nyumbani na sio kuongeza Mvutano njee ya mipaka yetu.

#Akili Kubwa Zote ni Mali ya Rais wa Nchi zitumike kuleta mafanikio katika nchi.

Ole Mushi.
0712702602
Upuuzi mtupu.
 
catch fire? RIP BOB
 
Sasa namba ya simu ya nini?
 
Kama ni hivyo, wataharibu zaidi maana nchi itaingia rasmi kwenye kongamano kimataifa kwamba kuna ukiukwaji wa haki au laah. Kabudi atapenda kufukia kwa kudanganya na facts ntingi zitawekwa wazi zaidi. Suburi....
 
Hawa watu bana utasikia 2020 twende na Membe.
siasa Mchezo mchafu ila Kabudi ni kichwa cha kuruka mtego. all the best TL tumaini pekee kwa opposition muwe macho na wahamiaji nipo kando nacheki mchuano huu ambao hautabiriki
 
Waswahili wanasema JITIHADA HAIWEZI KUSHINDANA NA KUDRA maana Mungu akishasema ndiyo kwa tundu lissu hakuna awezaye kushindana nae.
Kwa kifupi naona wanajichosha tu na teuzi za kubahatisha lakini kumshinda lissu kwa hoja,ushawishi na mvuto ataendelea kumfunika maguful na wateule wake wote.

Kama nia ya magufuli ni kumnyamazisha lissu basi hapo anaenda kufeli tena kwa kiwango cha 5G
 
Nijuavyo plopesa Kalamaganda akiulizwa na Lissu nani aliwaondoa walinzi na nani aliondoa CCTV pale Area D ATATUMBUA MIJICHO KISHA ATASEMA "HILO SWALI HALIPO KWENYE MTAALA" vinginevyo akasaidiane na JOKA LA MAKENGEZA
 
Back
Top Bottom