King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Rotflmfao
...kwani unatafuta mke au unataka kuanzisha bendi ya ngoma za asili,?
...kwani unatafuta mke au unataka kuanzisha bendi ya ngoma za asili,?
Rotflmfao
ameenda shule??( kiwango cha elimu)
ameishi sana kijijini??
Mrangi wa kondoa, manyara,babati au kiteto?
.....
Jibu haya kwanza ..
kama vipi tafuta mwanamke mwenye mimba, akizaa jike tu chukua ukalee mwenyewe ili awe na malezi unayotaka, akishakuwa na umri wa kuoa then oa maana huyo utakuwa unajua tabia zake...si umemlea mwenyewe kwa jinsi unavyotaka?...otherise hakuna kabla au mtu aliye perfect!from kondoa..
Hold BA-Education(udsm)
most of her life spent at school n college..
Jamani mimi nimempta demu wa kilangi..
ana sifa zote za kuolewa,
ila kwetu wananiletea ngumu eti kabila lile si zuri kwa kuoa..
ukweli mie silifahamu kwani sikutaka mke kwa kigezo cha kabila..
ila ndio yamenitokea..
USHAURI wenu basi?
Jamani mimi nimempta demu wa kilangi..
ana sifa zote za kuolewa,
ila kwetu wananiletea ngumu eti kabila lile si zuri kwa kuoa..
ukweli mie silifahamu kwani sikutaka mke kwa kigezo cha kabila..
ila ndio yamenitokea..
USHAURI wenu basi?
jamani mimi nimempta demu wa kilangi..
Ana sifa zote za kuolewa,
ila kwetu wananiletea ngumu eti kabila lile si zuri kwa kuoa..
Ukweli mie silifahamu kwani sikutaka mke kwa kigezo cha kabila..
Ila ndio yamenitokea..
Ushauri wenu basi?
Kiukweli MRANGI SI MWANAMKE WA KUOA! Sababu-:
1. WABINAFSI
2.WACHOYO
3.HAWAWEZI ISHI NA M/MUME 1
4.HAWATOSHEK KTK 6*6
5.WASHIRIKINA KUPINDUKIA
6.HUTAELEWANA NA NDUGU ZAKO TENA BALI NDG ZAKE TU!
7.ATAKUENDESHA KM TIARA MBOVU
8.Uwe na maisha ya dhik,Ukipata vijisent KAKUONDOA!
WANAMENGI ila kwa leo yanatosha.
HAWAFAAIII!