Ndugu hawataki nimuoe mrangi-

Ndugu hawataki nimuoe mrangi-

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
203
Reaction score
100
Jamani mimi nimempta demu wa kilangi..
ana sifa zote za kuolewa,
ila kwetu wananiletea ngumu eti kabila lile si zuri kwa kuoa..
ukweli mie silifahamu kwani sikutaka mke kwa kigezo cha kabila..
ila ndio yamenitokea..
USHAURI wenu basi?
 
walangi ni wa wapi?

Za kuambiwa changanya na zako, ila..
 
Mwanangu jobe ayoub usiwe ****. Kwani wanaooa ni ndugu zako ingawa lisemwalo lipo na kama halipo laja? Ingawa mapenzi hayana kabila wala sura, kuna haja ya wewe kufanya utafiti maana huoi kabila lote. Kama Mrangi humuwezi basi kaoe Machame uone cha moto.
 
we nae unaleta nyingine mpya,sikuijua.wamachame nao wana nini tena?
 
Jobe ayoub mwanangu, kila kitu hujui sasa utajua kipi na lini? Nenda Machame kaulize utaambiwa. Wamachame are the "best" women on earth. They can make you cough all of your dosh and end up being kicked out after everything is swindled. Wait. They can call somebody uncle, brother and what not and it can turn out that the said person is their intimate guy. Umenipata? Natania hata hivyo.
 
we inaonekana ni mtaalum wa kabila.vipi wahaya?
 
Jamani mimi nimempta demu wa kilangi..
ana sifa zote za kuolewa,
ila kwetu wananiletea ngumu eti kabila lile si zuri kwa kuoa..
ukweli mie silifahamu kwani sikutaka mke kwa kigezo cha kabila..
ila ndio yamenitokea..
USHAURI wenu basi?

Huyo mke unamuoa wewe au ndugu ndio wanaomuoa? Kama wewe ndio muoaji,simama kidete as a man na fanya kile unachotaka acha kuyumbishwa na ndugu,Ukiwaendekeza ndugu watakuja kukupangia hata ratiba ya kukutana na mwenzi wako.Tafakari then chukua hatua!!!!!!
 
Mwanangu Jobe ayoub sasa unautafuta moto mwingine. Wewe umesoma hadi chuo kikuu? Nshomile nao si haba ingawa siwajui vizuri.
 
Mbona wazuri tu wanajua kupenda
 
ameenda shule??( kiwango cha elimu)
ameishi sana kijijini??
Mrangi wa kondoa, manyara,babati au kiteto?
.....
Jibu haya kwanza ..
 
kwa kuwa bado una hujakua sawasawa na hata kutokuwa na uwezo wa kusimamia na kuamua mambo yako mwenyewe mpaka uyapeleke kwenye 'bunge' la familia, basi hufai kuoa, subiri kwanza akili zako mwenyewe zikomae vya kutosha kujisiamia mwenyewe na kusimamia maamuzi na matakwa ya moyo wako. Nakutakia heri
 
...kwani unatafuta mke au unataka kuanzisha bendi ya ngoma za asili,?
 
Back
Top Bottom