Rugambwa31
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 226
- 75
Hard copy yenyewe imechukua wiki kutafutwa , na baada ya kutafutwa ndio inaenda kukaguliwa kama ni sahihi ama feki, hiyo soft itapatikana wapi? Banana Republic........
Kijana hii ndo tz! Inabidi tukomae nao kwani wamtuchezea miaka yote bila aibu kabisa.