Ndugai kumfananisha CAG na 'Mbwa' ni tusi zaidi ya mtu kusema 'Bunge lina udhaifu' katika kuiwajibisha Serikali

Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
kama amemuita ASSAD ni MMBWA na antegemea chakula kutoka kwa BWANAWAKE hapa inamaanisha hata yeye pia ni MMBWA kwakuwa hataalipoumwa ule ugonjwa BWANA huyohuyo ndio alimpeleka kumtibia hivyo na yeye ni MMBWA wa BWANA HUYOHUYO
 
Mambo ya kawaida tu kwenye siasa Hayo

Mbona kuna watu huitwa nyumbu na hamlalamiki?
Au nyumbu ni bora kuliko mbwa,tatizo profesa ameamua kuwa mwanasiasa anajibu kila neno hiyo haitakiwi hata kidogo kwa mtaalamu

God first
Watu huitwa dhaifu pia hawalalamiki? Hii sasa imekuwa too personal kuliko official.
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
And you ask yourself kwanini hili bara ni masikini wa kutupwa na omba omba? After so many years of political independence? Ndio mambo kama haya kuwa na vichwa kama Ndugai ofisini, this country and most part of the continent is being run by league of idiots, that's why we are so far behind in everything!!
 
Huyu Job mzima kweli? inaonekana anatakiwa kurudi India kuendelea na matibabu - Watanzania tumwombee.
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
Mtu unakaa kabisa unawaza CAG amekosea wapi haulewi wala hauoni, kisa aliwaita political entrepreneurs? Personal differences kwenye kujenga taifa inatakiwa kuwekwa pembeni, mtu kama Assad anajielewa sana yule Baba, anafanya kazi kwa uadilifu, kama una bifu nae si upeleke kwa mkeo? Nachukia sana haya mambo, hii nchi sijui ina laana gani, huku usikie mtu anasema Mungu amshukuru kiongozi, huku CAG anapingwa bila sababu, huku vijana hawana ajira, biashara zinakufa, uchumi una shrink, born on the wrong side of the planet. Its just that am poor ningeondoka hii nchi.
 
Mmm,haya mambo yamefika pabaya kama hii ni kweli.Ndugai ana matatizo tena makubwa.Yeye sasa ameenda mbali zaidi,this is person to person confrontation,ambayo to me haina tofauti na kupigana.Assad yeye alizungumzia Bunge,sio Ndugai as an individual,tena alitumia neno zuri tu,ambalo kwenye grading systems ni la kawaida kabisa.
Ndugai ananikumbusha alivyopigana na yule mpinzani wake wa kisiasa,ilikuwa aibu sana kwa kiongozi wa kiwango chake.Hapana, Ndugai ana hasira sana,jambo ambalo halifai kwa kiongozi.Prof.Assad ampotezee Ndugai,ila Rais ategue kitendawili hiki,kinalidhalilisha na kuliaibisha taifa letu.
Siku huyu jamaa alipooitushwa kugombea ubunge na tukio lile la kupiga mtu nilijua CCM kuna shida/Tatizo kubwa sana! Isitoshe bado walimchahua kuwa "sipika" maana kawa anayoyafanya niliyatarajia tu.
 
Watu mna roho mbaya!! Sijui kwa nini watu mnapenda kukoleza moto wa mabua kwa kumwagia petroli. Ndugai hajamuita Assad Mbwa bali VITENDO vyake ni sawa na kitendo cha mbwa kumng'ata anaye mlisha. Hii ni misemo ya Kiswahili sawa na kusema "Siongei na Mbwa naongea na mwenye Mbwa"
Mkuu pia tukumbuke kua anaemlisha mbwa na alie daraja ya chini ya mbwa, wote hulishwa na WANANCHI. nakumbuka sinema "all dogs go to heaven" kwa hio, Wananch, wakimkabidhi mtu asimamie, yule aliekabidhiwa hana ruhusa ya kudai yeye ndo mwenyemali. Wote wanalipwa mishahara, lakini wizi wa mabilioni unapuyanga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kawaida tu kwenye siasa Hayo

Mbona kuna watu huitwa nyumbu na hamlalamiki?
Au nyumbu ni bora kuliko mbwa,tatizo profesa ameamua kuwa mwanasiasa anajibu kila neno hiyo haitakiwi hata kidogo kwa mtaalamu

God first
Kumbuka pro Assad sio mwanasiasa yy ni mwanataaluma na kaz anayoifanya ni ya kitaaluma.
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
Unapo mnukuu mtu yakupasa usiongeze wala kupunguza neno, Ndugai hakusema prof Assad ni mbwa, alisema kitendo alichokifanya ni sawa na mbwa kung'ata anaye mlisha"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
Katika watu waliochanganyikiwa na Ndugai naye kachanganyikiwa na hakika kuna siku atajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
Kazi ya mbwa ni kulinda mali aliyoelekezwa. Kama mwenye mali atajifunika uso kisha akaingia eneo hilo na kujitwalia mali pasipo kujitambulisha ni lazima ataumwa na mbwa. Labda kama mbwa huyo si makini.
 
Mtu ametokea karibu na mirembe mnategemea nini!!
Pengine alishaishi huko akatoroka!!
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?
Kwa nini na yeye anamng'ata anayemlisha acha ashughulikiwe!!!,tulishaambiwa na watu humu ndani dunia ina kanuni zake,namshauri Profesa afuate kanuni za dunia.
 
Ndugai , spika wa Bunge la JMT, wakati wa press conference yake na waandishi habari jumapili tarehe 14/4/2019 amesikika akimuita Prof. Assad, CAG kuwa ni mbwa anayemng'ata mtu anayemlisha.

Hili ni tusi kubwa kuliko kutokuelewa kwake juu ya neno DHAIFU. Prof. Assad ni muislamu, kumuita mbwa kunaongeza uzito wa tusi.

Hivi, huyu spika Ndugai ana nini kichwani? Huku kutojua uzito wa maneno si pia kunadhihirisha hadharani UDHAIFU wake?

Hivi Prof. Assad akiamua kwenda mahakamani kufungua kesi ya kuchafuliwa jina/kutukanwa (defamation) dhidi ya spika atakuwa amekosea?

Mwehu huyu.

kwani pesa wanazolipwa watumishi ni za rais au Ndugai!.

Mjinga sana huyu mjinga.
 
Back
Top Bottom