Ndugai kuhusu Gwajima alikuwa mbele ya muda?

Ndugai kuhusu Gwajima alikuwa mbele ya muda?

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
609
Reaction score
1,574
Wakuu nimekumbuka hili sekeseke

“Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama Askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za Uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa Askofu halafu kama wenzako hawaelewi Dini sio hivyo hayo ni macho ya Makengeza Watu ni Waumini sana”

“Mimi ni Mzee wa Kanisa la Anglikana wa miaka mingi, ni nafasi ya Mshauri wa Askofu, nimeshakwenda Nigeria kwa TB Joshua, nimeenda Makao Makuu ya Kanisa langu, Uyahudi nimekwenda mara nne, nimeenda kwenye Kijiji cha Yesu, Galilaya yote ile nilitembea naijua”

“Nimefika Nazareth, mara ya mwisho nimeenda na Mwalimu Mwakasege, tunatamba sisi?, sasa ukiwa Askofu utudanganye sisi?, Dini tunaijua, mnavyokwenda sio kutumia platform ya Dini kila Jumapili kuhamasisha “Mtusikilize, mtasikia mabomu kesho” Waziri wa Mambo ya Ndani uko hapa, Serikali mko hapa hii haiwezi kwenda hivi” ——— Spika Ndugai. #MillardAyoUPDATES
 

Attachments

  • Screenshot_20250615-211633.png
    Screenshot_20250615-211633.png
    491.7 KB · Views: 15
Back
Top Bottom