Ndugai: CAG anaingilia mambo yasiyomhusu

Ndugai: CAG anaingilia mambo yasiyomhusu

Wadau,

Leo katika kipindi cha tuongee asubuhi cha radio one, Naibu Spika Ndugai amepinga vikali wazo la CAG kwamba wabunge wasiwe wajumbe wa bodi za masharika ya umma. Ndugai akiongea kwa jazba amesema CAG anaingilia mambo ambayo hayamuhusu na amekuwa akitoa ushauri mbovu ambao hautekelezeki na usio na mashiko, ameendelea kusema kwamba CAG anaingilia kazi zisizomuhusu.

Najiuliza nini kimemfanya Mh Ndugai apandwe na jazba kiasi kile?

Hii ndio Tz. Ukiingia kwenye anga za wanasiasa kuvuruga ulaji wao lazima utayakuta hayo.

Mbunge wa nini huko?
 
Duhhhhhhhhhhhhhh, rudi shule Mkuu
Wewe ndio urudi shule. Katoa point nzuri na sahihi. Ila yeye CAG kama mwananchi na mtaalamu wa hesabu katoa ushauri mzuri tu unaotakiwa kuzingatiwa.

Mbunge wa nini huko?
 
Wewe ndio urudi shule. Katoa point nzuri na sahihi. Ila yeye CAG kama mwananchi na mtaalamu wa hesabu katoa ushauri mzuri tu unaotakiwa kuzingatiwa.

Mbunge wa nini huko?
CAG ni moja kati ya tasisis ambazo kiutaalamu huitwa Watchdogs, hawa hufanya kazi za kuangalia utendaji na compliance za Taasisi za serikali/umma(Civil Servants) na kisha kulipoti position ya findings zao kwa wawakilishi wa Wananchi(ie Bunge). Hawa hutumwa na sisi wananchhi, na sio Bunge wala Serikali. Kwa misingi na maana ya Utawala Bora, CAG yupo sahii kwa ushauri alioutoa.

Kwa taarifa yako, CAG hukagua zaidi za shughuri za kifedha. Provided kama Wananchi wana interest nazo, basi huzikagua na kisha kutoa mrisho-nyuma.
 
Back
Top Bottom