Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo ameonekana kuwa bize na kuchati na simu yake ya mkononi huku akiwa anaongoza kikao cha bunge.
Ndugai ameonekana akitumia muda mwingi kubofya bofya simu yake bila kuwa makini na nini anachokiongoza.
Hii imekaaje wana JF, kiuwajibikani na unyeti wa kiti chenyewe?
Source: Channel 10 - habari saa1
I miss SS speed and standard aka Samwel SitaNaibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo ameonekana kuwa bize na kuchati na simu yake ya mkononi huku akiwa anaongoza kikao cha bunge.
Ndugai ameonekana akitumia muda mwingi kubofya bofya simu yake bila kuwa makini na nini anachokiongoza.
Hii imekaaje wana JF, kiuwajibikani na unyeti wa kiti chenyewe?
Source: Channel 10 - habari saa1
Ingekua mi ni spika ningepiga marufuku simu bungeni au ziwe zimezimwa sasa bora hiyo.. Kuna mbunge alipigwa picha anasafisha viatu vyake bungeni.. Hiyo iliniacha hoi ilikua ni wakati wa kuchangia bajeti ya wizara ya kilimo na ushirika sasa kama alikua kaboreka si angetoroka ka wabunge wenzake walivyofanya
Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo ameonekana kuwa bize na kuchati na simu yake ya mkononi huku akiwa anaongoza kikao cha bunge.
Ndugai ameonekana akitumia muda mwingi kubofya bofya simu yake bila kuwa makini na nini anachokiongoza.
Hii imekaaje wana JF, kiuwajibikani na unyeti wa kiti chenyewe?
Source: Channel 10 - habari saa1
I miss SS speed and standard aka Samwel Sita
Sikumuona bali kama ni kweli basi wananchi wa Kongwa watakuwa wamechagua Kituko.