Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,503
- 42,576
nifanye kazi kwa bidii kwa manufaa ya mafisadi? thubutu! yaani nilime mahindi kwa gharama ya tsh 300 kwa kilo halafu mafisadi wanilazimishe niwauzie kwa tsh 250 kwa kilo na kunizuia kuuza nje? kalime wewe unayeweza kufanya biashara ya kiuwendawazimu kama hiyo! unadhani hata ningelima kwa bidii kiasi gani nitapata faida kweli? acha kutumika kama 22cer mkuu! tumia akili zako binafsi, usitegemee akili za kuambiwa.
We ndo unatumia akili za kuambiwa..
Kwahiyo hulimi unapiga domo JF? Wanaofanikiwa inakuaje?
Mijitu mivivu ndo hulia sana wivu