Ndugai alipompiga mkwara Halima Mdee Bungeni Leo








[h=5]Friends (7)[/h]







Message
[h=1]Job Ndugai[/h]Add Friend


Has worked at BungeStudied at University of Dar es Salaam





[h=4]Sponsored story[/h]


http://www.facebook.com/profile.php?id=100002356408784#Amina Mollel, Fortunata Mkalo Peterand Eric Ongara like Pan-African Youth Empowerment Forum.
Pan-African Youth Empowerment ForumLike










Create an advert[h=4]Sponsored[/h]


http://www.facebook.com/profile.php?id=100002356408784#July 4x4 export Sale
mgtauto.co.uk
Our Summer Export Sale is now on. Discounts off ALL Vehicles! Free online quotes. Hundreds of cars, trucks and 4x4s in stock now.






http://www.facebook.com/profile.php?id=100002356408784#Popular Cars for Tanzania
tradecarview.com
Find out what car is popular in Botswana! 3 Series, Corolla Sedan, Forester, Vitz and More! Free quotations! .






http://www.facebook.com/profile.php?id=100002356408784#Study @ Sharda University
int.sharda.ac.in
Scholarships worth US $5 Million to Meritorious students. Internationally recognized degrees approved by UGC,Govt. of India














[h=4]Education and work[/h]








Employers University Secondary school








[h=4]Basic Information[/h]


Male

Gender












Facebook © 2011 · English (UK)


 
Wenda-waz -imu wawili wameshika nyundo mkononi wamekalia kiti cha Spika. guess what!!!!
 

mkuu wakianza kutwangana makonde mle ndani hata wakifunga mlango utafunguliwa na wananchi wenye hasira kali, hili timbwili timbwili litakaloamshwa mle nina hakika hakuna mbunge wa CCM atatoka na pua, wakilianzisha kuna nguvu ya umma itaingia kwa nguvu sana kuwasadia CDM.
 
wakati wa taarifa ya habari ta TBC1, mwanangu wa miaka 10 alipoona sita anabwabwaja, akaniuli hivi huyu ni chama gani, nikamjibu chama cha magamba, akaniambia sasa kwa nini unaangalia? nikabaki nimeduwaa!!, yaani hata watoto wadogo ssasa wanajua kuwa ccm huwa hawaongei point hata siku moja. Kwa kitendo cha ndugai kutetea neno "wanafiki" hapo wanajichimbia kaburi, mwanzo wa mwisho wao sasa no dhahili.
 
Nitaandaa mapinduzi zidi ya bunge. Jeshi la malaika wa mungu litashuka huko mjengoni dodoma na kuwapiga kwa magonjwa ya moyo na presha hao wabunge wa ccm, hivi karibuni utawasikilizia mahosptalini wakiwa wamelazwa inche ya inchi toka huko wanaletwa ndani ya majeneza kuja kuzikwa. Mungu yupo na siku sio nyingi. Mtakuja yaona haya niliyoyaandika hapa.
 
Ndungai nilikuwa namuona ana busara sana, kumbe naye wale wale tu!

Pole sana .Hivi ndani ya ccm kuna mwenye busara tena wenye busara wakina Warioba, Salim na wengine wengi walishakaa pembeni wanaangalia waloobaki (Magamba)
 
Ukiichunguza kauli ya Sitta, utagundua kulikuwa na mpango mahususi uliopangwa kuwadhalilisha wabunge wa upinzani, mkakati uliopangwa kuanzia kwa Waziri Mkuu hadi Ndugai. Lakini kazi ni moja tu posho zipunguzwe ili zikafanye shughuli za maendeleo ya wananchi.
 
Ndugai hajiamini kabisa,ndio maana akaropoka vile.Anataka kujionyesha anajua kumbe anaharibu asikimbie hoja na kuleta vioja bungeni.Hoja hujibiwa kwa hoja na ukweli lazma ukubaliwe hata kama unahatarisha shibe za matumbo yao.
 
kweli ubunge unawenyewe maana ningekuwa mimi ndio dada halima amani ya bunge ingetoweka

ndugai hiyo insurance policy ni ya nchi gani? au ipo kama visa? na hizo insurance nani atawakatia hao wabunge?
 
Hata kama watazima hoja bungeni lakini sisi wananchi hatuwataki CCM. Ukoloni unamwisho wake. Wembe ulimnyoa Kanu kenya ndo utakaomnyoa CCM. asanteni kwa kunisikiliza
 
Jaman hawa ccm wamezidi lakin naamin vijana tukiamua tutaweza kuwapinga hawa wazee wanaodai wanauenzi ukoolon
 
its a message kwa wananchi kuwapuuza wao ambao hawajui wananchi wanataka nini. Halima hakuongea kama yeye kama unampuuza halima ina maana unapuuza wapigakura wake wote na watu anaowawakilisha
Na miongoni mwa wapiga kura wake jimboni mwake ni mawaziri waishio mikocheni, makatibu wa wizara na viongozi mbalimbali wa sasa na wastaafu wanaoishi Mbezi Beach, Masaki, Oysterbay na kwengineko.....Siku inakuja.Siku ambayo tutatofautisha nywele za kichwani, za kwapani, za kifuani na kwengineko
 
Ndugai ni mtupu kichwani afadhali ya Nape haki .Nilimuona akiwa UK .Hana ajualo amejaa majungu mno .He is just a guy na kubebwa na Chama tawala .Siku zao zina anza kuhesabika .Kaachia RA yeye ni nani ? Slowly .
 


Mkuu wapi huko?!?
Moderators, nadhani umefika wakati sasa wa wachangiaji kuwa na uthibitisho katika mambo wanayochangia..kama mchangiaji hana uthibitisho basi afute kauli au apewe onyo au adhabu.
Maana kwa namna hii, kuna baadhi ya watu wanafanya JF kama sehemu ya udaku!!

Naomba kuwasilisha.
 


Katika historia ya Mabunge ya Tanzania Bung ehili la sasa ni AIBU TUPU! Wabunge wa CCM, Spika na Naibu wake ni MAJUHA NA WANATIA AIBU SANA!! Inasikitisha san akuona hay ayanatendeka, I wish wabunge wote wa CCM wapat eajali na kufariki kabla y auchaguzi 2015!
PAMBAF....
 
Halima Mdee is not Strategic, likes interjecting and makes unnecessary interventions.

She should learn to listen more and speak less.

She should learn not to be a quick reactor.

Otherwise, she will continue loosing her credibility
 
kikupacho raha na uchungu kitakupa ana telekeza mkakati wa kuwafunga mdomo
wabunge wa upinzani hawataweza kwani wananchi sasa wanaona na wanasikia na
kuelewa wanafiki na wezi na chama kinachobeba wahuni na wasiojali maslahi ya
watanzania ila matumbo yao ole wao ipo siku itakuja na watapata uchungu na
ndiyo watajua sauti ya umma ni sauti ya MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…