Sometimes dream is an initial stage to receive instruction from God, those who have gone to an advanced stage can hear the voice or receive visions. Sometimes there are vital signs that signifies something. I hope unaelewa kiingereza!
ww utakuwa umeniota mimi kwa mara nyingine tena... eeh!
dalili zote nishaziona
naomba iwe siri yetu, wakijua hawa watatamani nao waniote ili wafaid
sasa mimi nataka usiku wangu uwe kwako tu!
hapa naona haponi mtuww utakuwa umeniota mimi kwa mara nyingine tena... eeh!
dalili zote nishaziona
naomba iwe siri yetu, wakijua hawa watatamani nao waniote ili wafaid
sasa mimi nataka usiku wangu uwe kwako tu!
sikuwa najua,lakini kwa hapa JF ungetoa huduma ya bure tu
Mimi nimebobea katika kutafsiri ndoto. naweza kukusaidia.Za asubuhi mabibi ma mabwana, najua wengine mtakuwa hamjaamka, hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF sababu watu wanasema ndoto nyingi zina maana.
Sitaki kushushuliwa, nimeona hili swala lina fit hapahapa.
Mimi ni expert katika hiyo sekta. achana na hao wanaoleta utani.yasiwe mambo ya kubaatisha,una uzoefu wa miaka mingapi?kuna mtu hapa kasema anajua kutafsiri matokeo yake anasema ntaanza kuwa napaa angani
Mimi ni expert katika hiyo sekta. achana na hao wanaoleta utani.
lala, ukiota nisimulie full ndoto then nikupe maana yake kwa ujumla.labda tusubiri ntakayo ota leo usiku,asubui nikurushie fasta,ila ya jana siikumbuki vizuri,nakumbuka vipande vipande,naomba utafsiri;
-kuota uko juu ina maana gani?
-kuota uko kwenye maji ina maana gani?
-kuota uko kwenye chombo cha usafiri na watu wengi,baadhi yao siwafahamu baadhi yao ni watu tuliopotezana miaka mingi iliyopita