Habari zenu waungwana.
Katika hali halisi ya maisha ya mwanadamu yamekua yakigubikwa na imani za aina mbali mbali. Mi napenda kuangalizia swala la imani ya ndoto.. Kuna wengine huamin ndoto kama ndio muongozo wa maisha yao na kufata na kutekeleza kila kile wanachokiona ndoton.. Hili limo hasa katika zile familia za watu wanao miliki mizimu ila kwa wengine hawana imani nazo kabisa na kuona ni kama mawazo mtu alio lala nayo.
Je! kuna ukweli gani kuhusu ndoto?