Huwezi kutoboa kwenye maisha bila kufanya dua

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Hata Kama unamuomba Nani Imani yako na kupambana kwako ndo Siri ya mafanikio yako
Kila mtu Ana ndoto yake hapa duniani
But my friend kutimiza ndoto yako sio jambo jepesi kupambana peke yake hakuwezi kukufanya utimize ndoto yako
Katika maisha kuna vikwazo vingi ambavyo vinamsumbuwa mwanadamu kufikia kile anacho kilenga ndo maana kunahitajika nguvu kubwa ya kiroho ambayo itakuwa nyuma yako hata Kama utaanguka mara bilion moja bado Imani yako ya kiroho iwe kubwa kuliko akili zako
Wanao pambana na maisha ombeni saana kwa Mungu wenu
Kama Mungu wako ni shetani omba saana na fuata sheria zake kama Mungu wako ni Mungu wa kanisani omba saana na fuata sheria zake kama Mungu wako ni Mungu wa msikitini omba saana na fuata sheria zake
Kama Mungu wako ni akili yako mwenyewe omba saana akili ikusaidie
Life is no easy
 
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo imeendelea kwa bahati mbaya, au imeendelea kwa kufanya Dua, isipokuwa kwa:-
1.Kufanya Uwekezaji mkubwa zaidi kwenye ELIMU (AKILI). Hususani Elimu ya Sayansi na Teknolojia.
2.Mipango na Kufanya Kazi kwa Bidii Kubwa na kwa Ufanisi Mkubwa zaidi.
3.Nidhamu ya Hali ya Juu Zaidi ktk Uongozi na Matumizi ya Rasilimali Zote za Nchi.
 
Mbona hujamtaja mungu kwenye list Yako?
 
Hakuna nchi hata moja hapa duniani ambayo imeendelea kwa bahati mbaya, au imeendelea kwa kufanya Dua, isipokuwa kwa:-
1.Kufanya Uwekezaji mkubwa zaidi kwenye ELIMU (AKILI). Hususani Elimu ya Sayansi na Teknolojia.
2.Mipango na Kufanya Kazi kwa Bidii Kubwa na kwa Ufanisi Mkubwa zaidi.
3.Nidhamu ya Hali ya Juu Zaidi ktk Uongozi na Matumizi ya Rasilimali Zote za Nchi.
Sahihi
 
Wewe Kama kitu hukijui ni bora ukae kimia
 
Back
Top Bottom