Zuzu ana ndoto za kumuomba Gadafi aje agombee uraisi mwaka 2015.
Hadi leo ni miaka takriban hamsini uchumi umedorora, walala hoi wamekata tamaa.
Gadafi katawala Libya miaka 32, kageuza jangwa kuwa mashamba, umeme wa uhakika, miundo mbinu bora na raia wanafurahia matunda ya uhuru.
Gadafi si bora aje nchini kwetu atufanzie nchi yetu iwe kama pepo?
Mara Zuzu akashtuka usingizini
ahahahahaaah!! Watu mna vituko!Zuzu alipostuka, ndoto ikaendelea kwangu.
Nikaona ni bora Gadafi aje bongo tena sio kwa kugombea tu ikiwezekana hata aingie madarakani kimabavu.
Kwani faida nyingine ya kuwa na kiongozi huyu, wananchi hawatalipa kodi kama raia wa Libya.
Ghafla nikastuka.
Zuzu ana ndoto za kumuomba Gadafi aje agombee uraisi mwaka 2015.
Hadi leo ni miaka takriban hamsini uchumi umedorora, walala hoi wamekata tamaa.
Gadafi katawala Libya miaka 32, kageuza jangwa kuwa mashamba, umeme wa uhakika, miundo mbinu bora na raia wanafurahia matunda ya uhuru.
Gadafi si bora aje nchini kwetu atufanzie nchi yetu iwe kama pepo?
Mara Zuzu akashtuka usingizini
.............uliposhtuka tu mi ndoto ikaendelea, mwenyezi mungu ametuma mitume wake wanatuazibu watanzania wote kwa kuruhusu wajinga wacheche wamchague raisi kibuyu asiejua hata ni nini anachofanya.