Ndoto za Kuwa Rais wa Nchi

Ndoto za Kuwa Rais wa Nchi

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Hata huyu kijana mdogo anaona anaweza kuwa rais....Hope ni wa Tz sijajua anamaanisha kuwa uwezo wake unaweza kuwa sawa na rais au lah bado naendelea kutafakari
I Can Be A President.jpg​
 
Amejionea mfano wa nchi yetu inavyoendeshwa AUTO PILOT.
Naamini ataweza coz mtu flani anaweza.
Dah kwa kweli amejionea mwenyewe kuwa mambo hayaendi kabia....
Hata mimi nimependa mawazo yake
 
Every thing is believe and if you believe you can
 
Back
Top Bottom