Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,336
- 33,156
Jaman mi mwenzenu naomba kuuliza,mara nyingi nimekuwa naota ndoto ambapo katika ndoto hizo ni kwamba huwa ninakuwa na uwezo wa kuruka na kupaa hewan nikielea.tatizo ndoto hizi huwa naziota mara nyingi, bora ingekuwa naota mara moja moja lakini zinajirudia.
Ndoto Ni Sehemu Ya Maisha Ya Kila Mwanadamu:
Ndoto Ya Kuota Unapaa Imegawanyika Sehemu Tatu: jichunguze Yako Imedondokea Wapi.....
1: Ukiota Unapaa Vizuri Na Unatua Chini Vizuri Bila Tatizo Basi Hiyo Ni Ndoto Nzuri Kwa Psychic Powers Tunaita "Transvection" Hapa Unakuwa Na Uwezo Wa Kupaa Kiroho Na Kusavei Angani Umbali Kidogo Usiofika Mawinguni.. Unakuwa Una Psychic Power Ambayo Ipo Active....
2: Ukipaa Kwa Ndoto Kuanzia Katikati Ukajikuta Tu Upo Hewani, Kutua Hutui We Umebaki Hewani Tu, Au Ukitua Unadondoka Kwa Speed Halafu Ukigusa Ardhi Huumii Sana Zaidi Ya Mchubuko Au Meno Mawili Ya Mbele Kutoka.. Basi Ujue Umekumbwa Na Jini Mbaya..
3: Ukiota Unapaa Ghafla Unadondoka Na Kwa Speed Halafu Chini Hufiki Basi Hapa Ujue Umekula Chakula Kingi Kinachosababisha Ubongo Uendelee Kuwa Active Muda Wa Kupumzika Wakati Mashine Ya Kusaga Chakula Imetulia..
Acheni Kushauri Msiyoyajua..
#Rakims
Bibie charminglady ninakubaliana na aliyoyasema Mkuu Rakims ni ya ukweli yote hayo. Lakini huyu mkuu Rastad Ana Jini mahaba ndio anaye muotesha anapaa hewani ingawa hajatuambia yeye ni mwanamke au ni mwanamme?Dah... Leo mie nimepaa sana. Kuna watu walikuwa wananikimbiza nawachenga tu angani. Lakini nilikuwa naenjoy sana ninavyowapiga chenga!
Hebu akina MziziMkavu, Pasco na Rakims kujeni hapa mtudadavulie maana ake nini???
DALILI ZA MAPEPO MAHABA
1.Kuchoka katika ndoa Kabla ya kuoa au kuolewa kila mtu alikuwa na shauku ya kufurahia ndoa.lakini baada ya muda mfupi wanandoa wamechokana na ndoa imekosa ladha.Wakati mwingine mwnandoa mmoja anamchoka mwenzi wake.Kama ungepewa nafasi ya kuamua kwaupya huenda usingekubali kuolewa na mwanaume huyo au kuoa mwanamke huyo. Mpendwa msomaji kama unajisikia kuchoka ndoa hiyoni dalili ya kuwepo kwa mapepo ya mahaba tafuta msaada wa huduma ya kufunguliwa
2.Kufanya tendo la ndoa au mapenzi kwenye ndoto na mtu unayemfahamu au usiyemfahamu.
3.Kuchukia kuoa au kuolewa (unajuta kama usingeolewa au usingeoa)
4.Kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati wa kuoa au kuolewa. Kuolewa au kuoa mtu asiye sahihi.
5.Kuachwa na mume au mke.Kila mwanamume akikuoa baada ya muda mfupi anakuacha.Ujue unamapepo mahaba yanayofukuza wanaume katika maisha yako.Unakuta mwanamke mzuri amesoma na ana (uwezo) kazinzuri lakini anaachwa na wanaume au anatelekezwa na wachumba hapo unahitaji huduma ya fufunguliwa.
6.Kuchukia mahusiano ya kindoa na mumeo au mkeo.Wakati usiku unatembelewa na mapepomahaba.
7.Kunyonyesha watoto kwenye ndoto wakati huna mume wala mchumba /au umeolewa na huna mtoto kabisa! Ni dalili ya kifungo cha pepo mahaba.
8.Kuogesha watoto kwenye ndoto wakati hujaolewa ni dalili mapepo mahaba.
9.Kuota una familia kwenye ndoto wakati hujaolewa / au kuoa na wala huna mchumba.
10.Kuota unafanya shopping na mwanaume au mwanamke wakati hunahata mchumba.
11.Kumchukia mwenzi wako kiasi cha kutamani afe ili uoe au uolewe na mtu mwingine.
12.Kuota wanawake au wanaume wako uchi,au wewe mwenyewe kujiota ukouchi.
13.Wanandoa kuota mwanaume au mwanamke yuko katikati yenu au pembenimwa kitanda chenu wakati mmelala.
14.Mwanaume kukosa nguvu na kushindwa katika tendo la ndoa.
15.Mwanamke kupata maumivu makali sana wakati wa hedhi (maumivu makali ya tumbo)
16.Matatizo ya mfululizo ya magojwa ya kike mfano ya tumbo la uzazi,kuziba mirija ya uzazi.
17Kuotaunabakwa ndotoni.Kuharibu mimba baada ya kuota unafanya tendo la ndoa.
18.Kujutia kuoa / kuolewa bila sababu ya msingi
19.Kukosa hamu / moyo wa kuambatana na mwezi wako.Hujisikii tena kuongea na mwenzi wako wa ndoa unapenda kucheka na wanawake / wanaume wengine kuliko mwenzi wako hizi nidalili za kifungo cha pepo mahaba tafuta msaada wa kufunguliwa haraka upone!.
20.KIla wakati kuwaza kwamba ndoa itavunjika unapotazama miaka miaka mitano ,kumi huoni kudumu kwa ndoa yako hata hapo ulipo unaonakama muujiza.
21.Kukosa utoshelevu wa moyo kat ika ndoa uliyonayo.
22.kama ni msichana huoni kijana yeyote aliye wahi kukusemesha kwamba atakuoa ujue maranyingine hata wachawi wanaweza wakawa wamekufunga.
24.Kupewa ahadi za kuolewa bila kutimiwza / kama hakuna anayemaanisha unahitaji huduma ya kufunguliwa.
25.Kuachwa baada ya wanaume kuujua mwili wako au kuchukiwa baada ya mwanaume kulala na wewe.
26.Kucheza na nyoka ndotoni wala hungati hili sijambojema ni hatari.
27.kubakwa mara kwa mara katika halihalisi.
28Kumpamimba msichana mwingine halafu unaoa mwanamke mwingine.
29.Mchumba kufariki kabla ya ndoa (kufaghafla mipango ya harusi imeandaliwa)
30.Kuachiswa kazi au biashara kufa mara baada ya kuoa au kuolewa.
31.Kupata ajalimba ya baada tu ya kuoa au kuolewa.
32.Mwenzi wako hakubaliani nawewe katika jambololote mnalopanga (anakuwa mpinzani tu!)
33.Kila mwenzi anaye kuoa au unaye muoa anakufa
34.Kuwa na uamuzi wa kutoolewa au kuoa kwa kuogopa matatizo ya ndoa (hofu ya ndoa).
35.Mwenzi kutokukujali wakatiunaumwa unajihudumia mwenyewe hadi unapona nayeye yupo hata ulalamike maumivu anaendelea na shughulizake bila kujali.
36.kupigwa mara kwa mara bila huruma na mume wako.
37.kutishiwa kufukuzwa mara kwa mara na mumewako.
38.Kupotelewa na pete ya ndoa au cheti cha ndoa katika mazingira ya kutatanisha.
39.Kupewa pete za mapenzi na waganga wa kienyeji au wanajimu.
40Kujuta kuolewa au kuoa mwenzi huyo.
41.Kupanga kwamba niki rudi nyumbani tu nitapokeana na mwenzi wangu kwa furaha ghafla unawasili unaingiwa na chuki moyoni juu yake.
42.Kuchelewa kurudi nyumbani bila sababu ya msingi (Baada ya ndoa mwenzi wako anabadili tabia ghafla).
Sura yako kuonekana mzee kuliko umri wako.
43.Kutokwa damu sana au kwa muda mrefu wakati wa hedhi kukiambatana na maumivu makali (maranyingine siku zinzkuwa za mvurugiko mvurugiko).
44.Unakuwa na roho ya liwalo na liwe hujali ndoa yako hata ukishauriwa hushauriki.
45.Kutokupata mimba katika ndoa yako hata vipimo vya kidaktari vikionyesha huna tatizo au kuharibika mimba mara kwa mara.
46.kutengana kwa wana ndoa hata ingawa mnakaa nyumba mmoja (mzungu wa nne) kila mtu ana chumba chake.
47.Tumbo lako kuonekana unamimba hata watu wana kuona hivyo wakati hauna.
48.Matiti kutoa maziwa wakati huna mimba wala mtoto.
49.Kujisikia mjeuri,hasira,ukaidi kutokuelewana ktk ndoa.
50.Kuonywa na mtu katika ndoto kwamba hutaolewa.
51.udhihirisho wa wazi wa mapepo mahaba wakati wa usiku.
52.kukumbuka mahusiano ya mapenzi na rafiki zako wa zamani wakati una mkeo / mumeo kitandani.
53.Kujichua au kujiridhisha mwenyewe bila mwenzi usiku au bafuni.
54. Kuota unapaa angani wakati wewe upo usingizini.
Dalili za kuwa wewe una Jini Mahaba zipo nyingi tu hizi ni chache tu. Ukiwa na haya Matatizo nenda Kaombewe kama wewe ni Mkristo nenda akakuombee Mchungaji na usipo pona nitafute mimi kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu What's App +447459370172
Last edited by a moderator: