Ndoto yangu ni kusoma OPEN UNIVWRSITY.

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
406
456
Kikwazo kikubwa ni hii kozi. Lengo nataka nichukue shahada ya civil engineering. Hivi kozi hii inapatikana chuo hiki?

1.Maana wengine wanasena ipo, na wengine wanasema haipo.
2.Ingawa nikiangalia kwenye website yao siikuti.
3. Na point no2 siipi uzito kwa sababu, kuna baadhi ya kozi nazisikia zikitajwa kusomwa, ila kwenye website ya OUT sizioni.

Elimu yangu ni ORDINARY DIPLOMA OF CIVIL ENGINEERING.

SWALI KUU: Je naweza kusoma shahada ya civil engineering OPEN UNIVERSITY?
 
Ingia kwenye tovuti yao chukua mawasiliano yao wasiliana nao watakupa majibu yenye maana
 
Mkuu
Kikwazo kikubwa ni hii kozi. Lengo nataka nichukue shahada ya civil engineering. Hivi kozi hii inapatikana chuo hiki?

1.Maana wengine wanasena ipo, na wengine wanasema haipo.
2.Ingawa nikiangalia kwenye website yao siikuti.
3. Na point no2 siipi uzito kwa sababu, kuna baadhi ya kozi nazisikia zikitajwa kusomwa, ila kwenye website ya OUT sizioni.

Elimu yangu ni ORDINARY DIPLOMA OF CIVIL ENGINEERING.

SWALI KUU: Je naweza kusoma shahada ya civil engineering OPEN UNIVERSITY?

JIBU KUU: Ndiyo unaweza. Kwa mfano, Chuo Kikuu Huria, mf., cha Sri Lanka (http://www.ou.ac.lk/home/index.php/ousl/faculties-institutes/engineering-technology/civil cha China:http://en.ouchn.edu.cn/index.php/de...323-undergraduate-degree-in-civil-engineering n.k.

Unaweza kusoma kozi ambazo ni MOOCs, aghalabu hizi ni bila kulipia, au ada ndogo, na ni za vyuo vikuu vya nchi zilizoendelea. Mfano, https://www.classcentral.com/subject/civil-engineering
 
Mkuu

JIBU KUU: Ndiyo unaweza. Kwa mfano, Chuo Kikuu Huria, mf., cha Sri Lanka (http://www.ou.ac.lk/home/index.php/ousl/faculties-institutes/engineering-technology/civil); cha China:http://en.ouchn.edu.cn/index.php/de...323-undergraduate-degree-in-civil-engineering n.k.

Hapa nakuja kuchota
 
Ahsante kwa ufafanuzi. Swali la nyongeza. Je nikisoma kozi hii ya CIVIL ENGENEERING kwa DISTANCE LEARNING, Vyeti vyake vinakubalika hapa TANZANIA na kimataifa?
Mkuu

JIBU KUU: Ndiyo unaweza. Kwa mfano, Chuo Kikuu Huria, mf., cha Sri Lanka (http://www.ou.ac.lk/home/index.php/ousl/faculties-institutes/engineering-technology/civil); cha China:http://en.ouchn.edu.cn/index.php/de...323-undergraduate-degree-in-civil-engineering n.k.

Unaweza kusoma kozi ambazo ni MOOCs, aghalabu hizi ni bila kulipia, au ada ndogo, na ni za vyuo vikuu vya nchi zilizoendelea. Mfano, https://www.classcentral.com/subject/civil-engineering
 
Ndio. Vyuo vikuu huria, kama kile cha Sri Lanka au cha Uingereza, vina ithibati huko kwenye nchi zao, na pengine, kimataifa.
Angalia: https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_universities_in_Sri_Lanka

Pana dhana potofu imeenea, hasa Afrika, kwamba elimu ya masafa siyo elimu 'ya kweli'. Nilisikia habari ya Chuo Kikuu kimoja mashuhuri sana. Chuo hicho kilipoleta kozi fulani kwa njia ya masafa, wahafidhina chuoni hapo walipinga vikali. Basi wale wa masafa wakalazimika kuja chuoni kufanya mitihani. Matokeo yalipotoka, wale wa masafa walifaulu kuwazidi wakaao madarasani.

Kwa hiyo mkuu wewe tu. Soma, waletee TCU cheti chako, watakuthibitishia kwamba hakitoki kwenye degree-mills. Ni self-service http://faas.tcu.go.tz/guidelines.php japo maelezo hayo hayajazingatia matumizi ya control number.
 
Back
Top Bottom