mwanaume suruali Member Joined Jan 26, 2016 Posts 40 Reaction score 42 Feb 10, 2016 #1 Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23 nimetokea kupenda sana lugha yetu ya kiswahili na napenda siku moja niwe mwandishi mahiri wa fasihi. Naombeni msaada na ushauri nifanye nini ili nifaulu katika ndoto yangu hii?
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23 nimetokea kupenda sana lugha yetu ya kiswahili na napenda siku moja niwe mwandishi mahiri wa fasihi. Naombeni msaada na ushauri nifanye nini ili nifaulu katika ndoto yangu hii?