Ndoto ya Hayati Magufuli ilikuwa kujenga Ikulu kubwa kuliko zote Duniani, Rais Samia ameikamilisha kwa upendo mkuu!

Mwenye ndoto (Maono) huwa ni mkuu kuliko mtekelezaji wa hayo maono. R. I. P JPM, hakika ulikuwa kiongozi bora kabisa katika nyakati zetu.
Lakini mtoa mada hata hajasema Samia mkuu kuliko jpm, ye amempongeza tu kwa kusimamia vema maono ya mtangulizi wake.......huku yeye akiwa msaidizi mkuu kipindi hicho. Kuna tatizo hapo?!!!!

Comment yako hii ni ushahidi mwingine kuwa walinda legacy mnahangaiki sana kila msikiapo jina Samia Suluhu Hassan. Mnahangaila zaidi mkisikia mafanikio yake, yaani kukataliwa kwa maombi yenu (na Muumba) ya kila siku ya kutaka ashindwe kuendeleza chochote. Mmejazwa chuki dhidi yake, mmejazwa chuki dhidi yao.
 
Sasa hiyo ndoto ya kujenga Ikulu kubwa sana kuliko zote Afrika inatusaidia nini sisi watanzania? Huo ni upotevu wa pesa, muda na rasilimali.
.
20230509_210058.jpg
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Tatizo mi Rais yupi ataishi huko polini
 
Ndoto ya wendawazimu
 
Jengo kubwa, maana yake gharama maradufu za kulitunza kuliko hata ilivyokuwa Magogoni...

Guess nani mlipa gharama hizo? Mleta mada na sisi wote...
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Siyo kweli kwamba ikulu ya Dodoma ndiyo kubwa kuliko zote Duniani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ikulu kubwa kuliko zote duniani kwa hela ya mkopo! Hapo Dodoma watu hawana maji ya kunywa.
Ukizungumza hivyo huelewi namna Mambo yanavyokwenda..hivi mkopo ni nini hasa...labda fafanua hili halaf tuone akili yako inavyochakata mambo
 
Sasa hiyo ndoto ya kujenga Ikulu kubwa sana kuliko zote Afrika inatusaidia nini sisi watanzania? Huo ni upotevu wa pesa, muda na rasilimali.
Kuna jamaa kule kasema si mkopo kwani Kuna shida gani..hivi unamuelewaje..???anyway nadhan sio upotevu wa pesa..Malengo ya nchi tangu Uhuru yametimia kwa kuhamisha Makao makuu Dodoma..hongera kwa viongozi wetu..gharama yes kwani Kuna Mambo gani yasiyo na gharama..? Na kila mpango una wakati wake..
 
Ukizungumza hivyo huelewi namna Mambo yanavyokwenda..hivi mkopo ni nini hasa...labda fafanua hili halaf tuone akili yako inavyochakata mambo
Elewa kitu kimoja tu kwa yeyote anayekopa, hana hali nzuri kifedha.
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Wakuu mnaweza tuwekea list ya ikulu kubwa zaid dunian? Maan mamb ya ku brainwash watanzania hatutaki tena...!!
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Watu wanataka vitu vishuke bei mkuu unga bei mbaya, mchele nk
 
Tunampongeza Rais Samia kwa sababu ameweza kuitimiliza ndoto ya mtangulizi wake Hayati Magufuli ya kujenga Ikulu kubwa zaidi Duniani.

Kukamilisha kazi iliyoachwa kunahitaji Uthubutu, Ujasiri na Upendo kwa sababu Vipaumbele vya Viongozi hutofautiana.

Mfano Magufuli mwenyewe hakuweza kukamilisha kiporo cha Katiba mpya kilichoachwa na mtangulizi wake, au Mbowe wa CHADEMA kashindwa kuliendeleza Jengo lao la Makao Makuu lililoachwa na mzee Bob Makani.

Ghorofa la Tarimba pale jirani Manyanya awali ilikuwa kota ya NHC kama hiyo ya CHADEMA.

Mlale Unono!
Jinga wewe!
 
Back
Top Bottom