Ndoto ya ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto ya ajabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaJambazi, May 19, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nilikua na mpenzi wangu, baada ya kwenda round kadhaa, tulipitiwa na usingizi. Cha ajabu niliota nafanya mapenzi na demu mwingine na nikap*izi kabisa na kuchafua mashuka.

  Sasa wakuu hii ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume?
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Una matatizo...tafuta psychologist kwa msaada zaidi
   
 3. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unamatatizo ya AKILI au ya KISAIKOLOJIA, tafadhali waone wadakitari ya akili au wanasaikolojia iliwakupatie ushauri nasaha
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mmmh
   
 5. M

  Myujumi Juma Member

  #5
  May 19, 2010
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inasikitisha, tafuta ufumbuzi wa haraka.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mie mbona naona kama sio tatizo la kisaikilojia..zaidi labda ulimtamani huyo mwanamke mwingine na yuko mawazoni kwako .
   
 7. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,083
  Trophy Points: 280
  hiyo kali nashindwa hata kushauri nipe:A S clock: kidogo nifikirie
   
 8. RR

  RR JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  The most important organ in sex is the brain......
  In this case your brain was actually miles away from your gf, meaning you are very sexually attracted to the woman in your dreams.
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  umezidi umalaya, unataka kupata msaada kuhusu umalaya wako? acha uzinzi na uasherati
   
 10. Zneba

  Zneba Senior Member

  #10
  May 19, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  msaidieni mwenzio mbona umempa maneno makali kumbuka ni ndoto tu
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sijui kama ni kweli lakini baadhi ya ndoto zinatambulisha Taswira ya kilichomo kichwani
   
 12. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #12
  May 19, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hujampenda huyu mpenzi wako.....
   
 13. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Au mkuu hukuridhika na gwaride la mama?.,kuna wengine huwa wanaota wanafanya mastabeshen hadi kinaeleweka na ametoka kupiga kazi muda si mrefu
   
 14. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawatokea wengi kaka. C wewe tu. Na hii hutokana na tamaa ya kuwa na mwanamke unayemtamani kimapenzi zaidi. Inawezekana unampenda mpenzi wako, ila huyo mwanamke mwingine yupo sexy kwako zaidi ya mpenzi wako. So wewe unamtamani saaaana huyo mwanamke mwingine kimapenzi coz anakuvutia. Hayo mawazo yangu.
   
Loading...