ndoto mbaya sana!

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Mla mirungi alishtuka kutoka usingizini
akiwa na hofu kubwa,jasho linamtoka
na mwili unatetemeka
Akamwambia mke wake "Nimeota
ndoto mbaya sana wacha nikaswali
rakaa mbili"
Mke akamuuliza "Umeota nini mume
wangu"
Jamaa akajibu "Nimeota ati bei ya Big G
imefika shillingi elfu tano"
 
watu wa Arusha umewakosha,wanapiga gomba kama hawana akili nzuri
ingekua ni kitu kweli,Arusha wangeandamana wa kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom