Makandila9090
Senior Member
- Aug 16, 2016
- 161
- 193
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili jambo muda mrefu. Nimekuwa nikiota ndoto na kusumbuka sana usiku ila ukiamka baadae inakuwa ni kweli.
Mwezi uliopita niliota rafiki yangu kapata ajali na kufariki. Na ni kweli ilitokea na nilipata taarifa asubuhi nilipoamka
Leo nimeota pia usiku kuna jamaa yangu nimesoma nae miaka mingi iliyopita kufariki,nimeshangaa muda sio mrefu nimepigiwa simu ni kweli mshikaji kavuta mchana huu.
Yako mengi sana na mengi 90% inakuwa ukweli ya kile ninachokiota
Hii imekaaje wadau, nini tafsiri ya hizi ndoto?
Nawasilisha
Makandila