NakaziaOmba MUNGU
Asante Sana kwa ushauriOmba MUNGU
Usidharau ndoto hata siku moja hapo mlango wa ajira unataka kufunguka ila kuna nguvu zinarudisha nyuma au kuzuia mlango huo kufunguka omba sana kemea hio ndoto utaona matokeoMaisha yetu hasa vijana kwa kiasi kikubwa tumeyafanya tukiwa shule, hivyo sio kitu cha ajabu kuota ukiwa shule ni vile ubongo una memorise tu.
Mfano mimi leo tu nimeota ndoto nimeajiriwa kama mwalimu shule Moja ya kanisa (hapo nimesomea ualimu na sina ajira rasmi). Nikashituka nilipolala tena nikaota nimerudi tena shule kama mwanafunzi ninayerudia advance.
Ukianza kuhusisha mambo ya ndoto na maisha utateseka sana.
Soma ISAYA 7:7 omba sana huku ukisimama katika andiko hilo kataa kila aina ya ndoto iliyo kinyume na mpango wa Mungu maana hata wachawi hutumia mlango huo wa ndoto kutimiza mambo yao, pia jiwazie mema kataa hiyo hali ya kushindwa usikubali kuangushwa au kurudishwa nyuma kataa kataa dear, amka saa tisa usiku sali maana anga linakuwa wazi na tulivu la ukishindwa fanya saa tatu , ukiweza pia funga hata tatu kavu huku ukiomba kwa kumaanisha hakika utavuka hapo