- Thread starter
- #21
ina maanisha utakuwa masikini maisha yako yote, yaan ww inaonyesha umezaliwa kuja kusindikiza wenzako dunian.
hahaaaa!! just a kidding bro
mkuu mbona unanichuliya bwana
ina maanisha utakuwa masikini maisha yako yote, yaan ww inaonyesha umezaliwa kuja kusindikiza wenzako dunian.
hahaaaa!! just a kidding bro
mara nyingine mnaota yale mliyokuwa mnayawaza mchana
endelea kulala na uwe makini maana kwenda state bila passport ni sawa na kuvaa sokx nje ya kiatu
Sasa umeamka ili iweje
ungebaki huko huko marekani bongo huku shida tu
Itakua hiyo biashara ya ya fegi ya Tarime inakuendea vema.
umejuaje kama ni new York au ulishawahi kwenda? kweli wewe ni k for life...hio k ni nini au papuchi
mkuu mafegi tena? mbona siyajuhi?