M Mountainmover Member Joined Nov 9, 2010 Posts 46 Reaction score 9 Nov 9, 2010 #1 Nimekuja kuwapa changamoto...nahamisha milima
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Nov 9, 2010 #2 Mountainmover said: Nimekuja kuwapa changamoto...nahamisha milima Click to expand... changamoto zipi hizo mkuu? na milima inaihamisha toka wapi kwenda wapi?...
Mountainmover said: Nimekuja kuwapa changamoto...nahamisha milima Click to expand... changamoto zipi hizo mkuu? na milima inaihamisha toka wapi kwenda wapi?...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,926 Nov 9, 2010 #3 Ivuga said: changamoto zipi hizo mkuu? na milima inaihamisha toka wapi kwenda wapi?... Click to expand... Huyu mgeni mtata, by the way tumkaribishe na tusubiri kuona hiyo milima inavyohamishwa.
Ivuga said: changamoto zipi hizo mkuu? na milima inaihamisha toka wapi kwenda wapi?... Click to expand... Huyu mgeni mtata, by the way tumkaribishe na tusubiri kuona hiyo milima inavyohamishwa.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Nov 9, 2010 #4 mmmmh,usije kuondoa watu jamvini bureeeeeeeeeeeee!!
M Mountainmover Member Joined Nov 9, 2010 Posts 46 Reaction score 9 Nov 10, 2010 Thread starter #5 Milima ni matatizo yaliyo kwenye jamii yetu. Kama kuna watu hapa jamvini ni tatizo then their days are numbered. 'Where there is no vision people perish'
Milima ni matatizo yaliyo kwenye jamii yetu. Kama kuna watu hapa jamvini ni tatizo then their days are numbered. 'Where there is no vision people perish'
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Nov 10, 2010 #6 Mountainmover said: Milima ni matatizo yaliyo kwenye jamii yetu. Kama kuna watu hapa jamvini ni tatizo then their days are numbered. 'Where there is no vision people perish' Click to expand... wewe umekuwa mods?kama sikosei utakuwa umeingia cha kike,,humu ndani huwezi kuondoa mtu ....wewe mwaga hoja zako watu watakujibu na kuzijadili
Mountainmover said: Milima ni matatizo yaliyo kwenye jamii yetu. Kama kuna watu hapa jamvini ni tatizo then their days are numbered. 'Where there is no vision people perish' Click to expand... wewe umekuwa mods?kama sikosei utakuwa umeingia cha kike,,humu ndani huwezi kuondoa mtu ....wewe mwaga hoja zako watu watakujibu na kuzijadili
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Nov 10, 2010 #7 haya bwana karibu ....... lakini kuna waataaalum sana huku ndani ambao wameshazileta hizo changamoto.. itakuwa fresh kusikia za kwako pia... na milima angalia isije ikawa mizito sana ikakuhamisha wewe.... take it easy and take care😛eace:
haya bwana karibu ....... lakini kuna waataaalum sana huku ndani ambao wameshazileta hizo changamoto.. itakuwa fresh kusikia za kwako pia... na milima angalia isije ikawa mizito sana ikakuhamisha wewe.... take it easy and take care😛eace:
M Mountainmover Member Joined Nov 9, 2010 Posts 46 Reaction score 9 Nov 10, 2010 Thread starter #8 Ivuga said: wewe umekuwa mods?kama sikosei utakuwa umeingia cha kike,,humu ndani huwezi kuondoa mtu ....wewe mwaga hoja zako watu watakujibu na kuzijadili Click to expand... Touchy touchy.. Huh? Ni mwendo wa antivirus!
Ivuga said: wewe umekuwa mods?kama sikosei utakuwa umeingia cha kike,,humu ndani huwezi kuondoa mtu ....wewe mwaga hoja zako watu watakujibu na kuzijadili Click to expand... Touchy touchy.. Huh? Ni mwendo wa antivirus!