Nlpokuwa mdogo uncle wangu mmoja alkuwa anapenda kushinda kwa mganga siku moja akawa anapiga story kuhusu afanywe tajiri lkn lazma amtoe MTU wa karibu kafara( mama ake ambaye ni Bibi yangu) loh nlienda kumsemea akasemwa sana na mamake nilionekana mmbeya ila atleast hakutimiza azma yake