Ndombolo ya Kings

Una tatizo lolote na King? Nauliza tyuuh
 
Tunaongelea wimbo wewe umeanza kuleta ngonjera zako
Diamond ndio kaanzisha masebene?
Kwamba wengine wasifanye?
Si yametoka Congo.
Kuna watu jamaa sijui kawafanyia Nini aisee wamekua miyeyusho kweli .wanamuona Kama ni mungu wao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…