lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,742
- 3,449
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Sasa Nimemueleza Kiba Kumbe Lengo Lake sisi Ndo tukatike na Sio yeyeUkikatika wewe inatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiba ni mwimbaji au mnenguaji?
Mwimbaji sawa ila uliona kitu harmonize alifanya na Awilo kwenye alllltitudeeeee hahaaa harmonize hajui kucheza ila dancers walimbeba...huyu Kiba namna lolote utaona tu anarusharusha mikono anamwangalia msichana kwenye macho video inakuwa imeisha.each of his videos kuimba anaimba 96% sikatai.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeee eti sadala hahahaaa sadala wakati wanamuiga kila kituKiba na mashabiki zake wanamchukia Diamond hata bila sababu. Sasa hivi wameamua kumbebesha majina sijui ndio inawasadia nini.
Umeonaeee eti sadala hahahaaa sadala wakati wanamuiga kila kitu
Nakusahihisha mkuu Diamond na mashabiki wake ndo wanamchukia Alikiba .Kiba na mashabiki zake wanamchukia Diamond hata bila sababu. Sasa hivi wameamua kumbebesha majina sijui ndio inawasadia nini.
Tunaongelea wimbo wewe umeanza kuleta ngonjera zakoKiba na mashabiki zake wanamchukia Diamond hata bila sababu. Sasa hivi wameamua kumbebesha majina sijui ndio inawasadia nini.