Ndomba kumrithi Hosea very soon

Status
Not open for further replies.
Hebu nipeni mipaka ya very soon!!!Maana habari ni ya tangu September 2008, huu ni mwezi wa 5 hakuna lolote. Hoseah anapeta tu na PCCB yake!!!! Anyway, tunasubiri uteuzi kama upo!!!! Kwani Chief Secretary alishatoa jibu la maelezo yake ambayo alisema anayafanyia kazi!!!???? Usanii and business as usual in the public sector. I am out.

Mambo mazito!!!!! Na kweli anapeta
 
Hebu nipeni mipaka ya very soon!!!Maana habari ni ya tangu September 2008, huu ni mwezi wa 5 hakuna lolote. Hoseah anapeta tu na PCCB yake!!!! Anyway, tunasubiri uteuzi kama upo!!!! Kwani Chief Secretary alishatoa jibu la maelezo yake ambayo alisema anayafanyia kazi!!!???? Usanii and business as usual in the public sector. I am out.

kikao cha bunge kimeanza leo na moja ya jukumu la serikali ni kutoa utekelezaji wa mapendekezo ya tume ya mwakyembe kwenye sakata la richmond na moja wapo ya penedekezo ni hatma ya hosea... tusubiri tuone kama ni changa la macho au la!!!
 
Sidhani kama tunahitajhi kung'olewa wka mtu mmoja, tunataka mapinduzi ya kimfumo ili kuhakikisha kuwa taratibu, kanuni na sheria ndizo zitakazoongoza vita dhidi ya ufisadi. Morals za watendaji zinaweza kuwa compromised kirahisi iwapo taratibu, kanuni na sheria hazijakaa sawasawa.
Kama inavyoonekana, hawa wanaobadilishana madaraka wote ni kizazi kimoja, tunahitaji zaidi ya mtu kudhibiti hali ya mambo
Well said mkulu.Issue ni System sio mtu.Tubadili System or to istrengthen.
Ukiwa kwenye system nzuri, ukifanya vizuri system itakuexpose vilevile ukivuruga system itakuexpose.System,system,system.Its all about system.
 
Masatu,

DO you know what you are talking about?Embu malizia hio list na ukiwa na FACTS na sio bla bla tuone...Na sisi Tukuelezee kuhusu Mzee Samson Luhigo.
One of the Best Mtumishi wa Uma.

Mstahiki kabla sijakumalizia list "tuelezee" na wewe kuhusu Mzee Samson "one of the Best"...
 
kikao cha bunge kimeanza leo na moja ya jukumu la serikali ni kutoa utekelezaji wa mapendekezo ya tume ya mwakyembe kwenye sakata la richmond na moja wapo ya penedekezo ni hatma ya hosea... tusubiri tuone kama ni changa la macho au la!!!

Bunge lipi? Watapewa jibu moja tu rahisi kuwq suala hilo lipo mezani kwa rais, habari itaishia hapo
 
kikao cha bunge kimeanza leo na moja ya jukumu la serikali ni kutoa utekelezaji wa mapendekezo ya tume ya mwakyembe kwenye sakata la richmond na moja wapo ya penedekezo ni hatma ya hosea... tusubiri tuone kama ni changa la macho au la!!!

Ngoja nikamate bakuli langu nikachote maji ya chemichemi ile nije nioshe macho tayari ndani ya luninga na magazeti kuona yatakayojiri!!! Hivi mama yetu Kilango yupo??? sijamsikia siku za hivi karibuni.
 
hata hamu sina ya ilo Bunge kulisikia jamani,naona kama hakutakuwa na jipya uko Dodoma
 
Heshima mbele wakuu

Taarifa zilizotoka hivi punde kutoka kwenye mitambo na nzi wetu wamekamata kwenye antena zao zinasema muda si mrefu mkulu atampiga chini Bw.Hosea wa takukuru na kumweka Mjeshi Ndomba aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadae Mkulu kumrudisha jeshini ili kuweka nidhamu ya jeshi juu. Hapa tutaambiwa Hosea anastaafu lakini umri bado Mhh!!!!. Pia wale tunaowapigia kelele sana hapa Jf kama Mwanyika na mwenzie Mgonjwa watapigwa chini tukipata dodoso tutaziwasilisha

Nzito

Tetesi hizo zipo muda mrefu, nasikia Hos aliambiwa achague nchi gani angependa kuwa BALOZI.
 
Wadau,

Tunaweza kuijadili hii hoja hata kwa mwaka mzima bila kupata suluhu kwa kuwa kila mmoja nakuja na mawazo tofauti. Mimi nakubaliana na wanaosema tupiganie kubadili mfumo na sio mtu. Hata ukimuweka Mwakyembe/Warioba/Mahiga etc pale bado na yeye atashindwa kudeliver kwa kuwa Takukuru si chombo huru. Mwenye nchi naye alitajwa kwenye list ya Mwembe Yanga kuwa ni fisadi. Sasa tunatarajia akamate wenzake? Hii ni sawa na kupeleka kesi ya nyani kwa ngedere.

Tupiganie TAKUKURU ISIWE CHINI YA SERIKALI. IWAJIBIKE MOJA KWA MOJA BUNGENI. KIWE CHOMBO HURU. Period!!!!!!!
 
Well said mkulu.Issue ni System sio mtu.Tubadili System or to istrengthen.
Ukiwa kwenye system nzuri, ukifanya vizuri system itakuexpose vilevile ukivuruga system itakuexpose.System,system,system.Its all about system.

Mkuu hapo unaweza fikiria juu ya system kumbe ni syndicate. mtandao si system ni syndicate.ndicho wanasiasa nawale wanaotaka madaraka makubwa kwa uchu mkuu wanachofanya.create your own layer.

Ukweli mwingine tunaousahau ni huu; hapatakuwa na kiongozi yoyote atakaye teuliwa na Kikwete akawa na ubavu wa kupambana na mafisadi[marafiki wa kikwete] akaweza.Mafisadi ambao hawaivi na Kikwete[kama Mramba na mahalu] hao itawezekana.
Huyu jamaa anawapoison watanzania wazuri[viongozi waadilifu] kwa namna ya ajabu.Wanashindwa kufikiri sawasawa wanafikiri na kusema kama yeye alivyo;kutaka kupata sifa.
Tusitarajie kitu kipya, Ndomba atakuja kwa nguvu ya andrew's liver salt si ya soda tena.Atachemka kidogo halafu anakufa jumla.
Kuna wazee wakasema ile kauli mbiu ya Ari mpya, NGUvu mpya na KAsi mpya ilizaa neno ANGUKA.Katika uongozi wake huyu mh-ishi-miwa tutegemee viongozi wengi kuporomoka kuanzia heshima hadi utendaji wao.ni kwa mtazamo wao, lakini hata mtazamo wa kichaa kuna wakati ukawa sahihi.
 
Inaelekea Field Marshall ana historia ambayo wengine hatuijui!! Huyo Malecela alipotumwa na mzee Ruksa kuwapromoti hao uanaowataja, Dr Mtulia alikuwa naibu waziri wa wizara gani?The highest position ambayo Mtulia attained enzi za Mwinyi ni ukatibu mkuu wizara ya maji na waziri wake akiwa Alhaj Mussa Nkangaa!! Unaibu aliupata lini?? Tusipotoshe historia jamani.
 
..hatuongelei barometer hapa...lakini huwezi kusema rais ambaye katawala miaka 23 ...alishindwa kumpa jk hata ukuu wa wilaya..yet unataka kumfananisha kikwete na malecela ...YOU ARE A JOKE!!!..malecela anayo historia nchi hii...hakukaa kwenye cheo cha ukatibu wa chama wilaya miaka 15!!.....malecela alipanda vyeo haraka haraka kwa kuwa alikuwa na uwezo...mwalimu alimuamini na kumpa foreign ministry ..wa kwanza ...[kabla wizara hii ilikuwa state house]...akiwa kijana mdogo..kama alikuja kutofautiana naye ilikuwa badaye....wakati huo kikwete alikuwa akiadhibiwa ovyo kupelekwa mikoani kwa ajili ya ufuska......wenzake alioajiriwa nao kina ditopile ,lowassa na wengine walishapandishwa vyeo na kupewa kazi za kueleweka.....

kubalini tu kuwa kikwete amepanda hapa karibuni tu....hakuwa amepikwa akapikika.....nadhani angekuwa ameingia kwenye active posts kwa muda wa kutosha ....ingetosha kumjua vema...tabia zake zilizojificha za uzembe.....

thats why kuna haja ya kumuangalia na kumchambua KIKWETE HALISI WA MIAKA YA 1976 HADI 1988.....kutakuwa na mambo ya ajabu hapo!!!

Je katika kipindi hicho Kikwete alikuwa na Umri gani? Na vilevile linganisha vijana wengi katika umri huo wanafanya nini??
 
Tunasubiri kwa hamu mabadiliko hayo kama kweli yatakuwa na tija,itakuwa muhimu watuhumiwa wote watemwe kwa kutumia ofisi vibaya kwa woga wa kulinda mafisadi.
 
..........ila nasikia huyu hosea anakula hadi pesa za moto..yaani zile pesa ambazo maafisa wanatakiwa wagawiwe ili wakafanye kazi ...yeye huwa anatia ndani...

Ongeza kwamba, ukiwa na kesi ya rushwa lazima utumie Law firm yake. Kama siyo hivyo, utahakikishiwa kifungo. Kwa woga wengi lazima waitumie.
 
Ongeza kwamba, ukiwa na kesi ya rushwa lazima utumie Law firm yake. Kama siyo hivyo, utahakikishiwa kifungo. Kwa woga wengi lazima waitumie.

Come again? Una kesi ya rushwa ambayo bila shaka inasukumizwa na PCCb, bosi akiwa Hosea halafu unaibuka mahakamani ukitetewa na wakili Hosea, huyo huyo aliye bosi wa PCCB! Kweli huyu Hosea hatumpendi!
 
Fundi ujawahi kukaa kijiweni.
 
Chief of staff mpya is not the right choice and in the matter of fact it is a snub to carrier commanders....within five years ....Ndomba amepanda cheo toka Mkuu wa Mkoa....,Kanali,brigedia jenerali ,(chief of personel), CN - chief of national service ,Maj general ..this year and yesterday Luteni Jenerali....
Ndomba is just a political commiser...Kama JK...bora Shimbo ni carrier.....,kozi stahiki za makamanda wa juu wa TPDF...Iitwayo ....NDC.....alipelekwa karibuni tu....wakati kuna wenzake wamefanyaa hiyo kozi toka wakiwa makanali....,wamepiganisha operesheni ..etc.....vitu ambavyo Ndomba hajafanya....... It's a blow kuweka wanasiasa kwenye kazi proffessional just kwa kuwa ni washkaji.......kuna makamanda KAma Wescesilous Kisampa,,hamad Kijuu,..Na Rioba...ambaye amepelekwa PMO kuratibu maafaa kwa kuwa in military seniority Ndomba asingeweza kuvaa...u Luteni general akawaruka yeye na Kisampa ....ambaye alipelekwa Dafur kupiganisha..majeshi ya Africa .........Ndomba hajaanza kufanya operesheni hata moja ya kijeshi Kama kamanda Mkuu ...so simply ni mwanasiasa na ni mweupe.
 
..hadi kuja kuibuliwa mwaka 1990...jk alikuwa akipanda baiskeli tu kama katibu wa chama wilaya newala...akitumia muda mrefu kufukuzia kinamama kwenye ma tembe ya udongo....offcourse ndiko alipompta mwalimu wa UPE ..salma...huo uchumi ka practice lini????

...hiyo ndoto ya urais ilimpata ghafla....pamoja na kujifanya ni moja ya watu waliokuwa karibu na mwalimu ...si kweli..kwani mwalimu asingemuacha kwenye cheo kidogo kwa miaka yote hiyo..hadi warioba alipomleta mjini kwa mwinyi..baada ya kumkuta kule kwenye mafuriko ya elnino....sana sana ukaribu na mwalimu ni kipindi akiwa foregn wakati wa burundi peace...ukweli jamaa ni smart kwenye kutumia opportunity....
Umenichekesha sana mkuu!duuh!Kumbe ndo maana sasa anatolea usongo na kijiji chake mwenye huko msoga kwa hiyo mijumba anayoiangusha.
 
Chief of staff mpya is not the right choice and in the matter of fact it is a snub to carrier commanders....within five years ....Ndomba amepanda cheo toka Mkuu wa Mkoa....,Kanali,brigedia jenerali ,(chief of personel), CN - chief of national service ,Maj general ..this year and yesterday Luteni Jenerali....
Ndomba is just a political commiser...Kama JK...bora Shimbo ni carrier.....,kozi stahiki za makamanda wa juu wa TPDF...Iitwayo ....NDC.....alipelekwa karibuni tu....wakati kuna wenzake wamefanyaa hiyo kozi toka wakiwa makanali....,wamepiganisha operesheni ..etc.....vitu ambavyo Ndomba hajafanya....... It's a blow kuweka wanasiasa kwenye kazi proffessional just kwa kuwa ni washkaji.......kuna makamanda KAma Wescesilous Kisampa,,hamad Kijuu,..Na Rioba...ambaye amepelekwa PMO kuratibu maafaa kwa kuwa in military seniority Ndomba asingeweza kuvaa...u Luteni general akawaruka yeye na Kisampa ....ambaye alipelekwa Dafur kupiganisha..majeshi ya Africa .........Ndomba hajaanza kufanya operesheni hata moja ya kijeshi Kama kamanda Mkuu ...so simply ni mwanasiasa na ni mweupe.
Kumbe Ndomba ni loyalist! Jeshi linawekwa tayari hilo kwa 2015
 
Binafsi namfahamu kidogo Bwana Samwel Ndomba, ni mchapa kazi na zaidi anachukia sana rushwa. Alikuwa mkuu wa wilaya ya Ngara moja ya wilaya zilizomo mkoani Kagera na mara nyingi aligombana na watendaji wenzake waliokuwa wala rushwa. Mpaka sasa Ngara wanamkumbuka alivyoweza kusimamia ujenzi wa shule nk.

Lakini Ndomba na JK ni marafiki tangu walivyokuwa ''Depo''. Sasa anachokifanya JK, kama ni kweli atamcteua Ndomba, ni kuendeleza USWAHIBA kazini kitu ambachokimekuwa kikimponza sana katika utendaji wake kwani hujikuta hawa maswahiba wake kama Lowasa,na wakuu wengine wa vitengo na Idara wakiboronga na yeye kushindwa kuwa kemea.
Ndo yale yale ya uswahiba.No wonder nchi iko hapa ilipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom