Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,421
Mkuu mbona kamaHaswa za kizazi hiki.
Usaliti umekuwa kitu cha kawaida, magomvi kama yote, wengi wanafeki furaha ila ndani kunafurukuta. Matukio ya kutisha, najiuliza walewale waliokuwa wanacheza romantic songs sijui blues kwa hisia na upendo ndo hawahawa leo wanakimbizana na mapanga?
Wamechafukwa hawatamani kuonana tena, ndo hawa kila mmoja kamchoka mwenzake? Wanapigana wengine wanauana.
Ndoa imekuwa kifungo cha maumivu, nimeshuhudia wengi wakiteseka kihisia, kimwili, kiroho nk
Ndoa sio salama tena imekuwa njia ya kujipatia magonjwa ya kila aina, ukitaka magonjwa yote ingia kwenye ndoa na malaya asiejua kuridhika wala kutulia. Ndoa zimegeuka tanzi na mtego.
Hata ukiweka vigezo 100 lakini ukweli watu hubadilika kutokana ma situations zinazotokea maishani. Mpaka baba mchungaji anachepuka. Ukiyumba kiuchumi kidogo tu mwenzio kakukimbia. Ukipata hata ajali ukilala tu kitandani mwenzio anaomba talaka ama anahamia kwa mwingine.
UKITAKA KUINGIA KWENYE NDOA JIPANGE NA UWE NA ROHO NGUMU!
Ila ndoa raha kila mtu akiwa anajua thamani ya mwenzie.Ndoa ni jambo la kheri na changamoto ndio zinazofanya tunaishi japo sikuhiz ukiingia ndoan ni kama umeenda jela
Kuna mtu alsemaga ukiingia ndoani miaka hii hakikisha unajifanya akili zako sio timamu ππ
Nashukuru katibu wangu.safi sana mpaka mseme
endeleeni kuoa
Komenti yako ya kwanza nimeipotezea, ila sasa naona umedhamiria[emoji2][emoji2]Ukijifanya wewe ndo unaakili logic za kutosha Yani itakushinda mapema sana[emoji2][emoji2][emoji2]
Kuna watu ndoa hata inakuwa Gaza bado wapo sababu ya kuona aibu na kudhalilika wakionekana wameachanaVita ya kujitakia, utadhani tumelazimishwa kuwa pamoja
π π π Ukizeeka utakuwa mchawiBasi tupo tofauti. Binafsi sijawahi kujutia kuishi peke yangu. Yaani ile kufika geto na kuwa mwenyewe huku nahesabu pesa zangu na kuzitunza KUNANIPA RAHA YA AJABU NA UTULIVU WA NAFSI USIO NA KIFANI
We si umetoka kuoa Mrangi juzi tu hapo.NAKAZIA HAPA
Bro kutambua thamani ya mwenzio na to cherish it ni jambo linahitaji maamuzi yasiyo na unafiki ndani yake...Ila ndoa raha kila mtu akiwa anajua thamani ya mwenzie.
Bahati mbaya watu sasa wanaishi nyumba moja ila wapo matumatu hawaaminiani tena.
Tuondoe hizi aibu maana ndo zinazotesa watuKuna watu ndoa hata inakuwa Gaza bado wapo sababu ya kuona aibu na kudhalilika wakionekana wameachana
So kwa maana nyingine mmoja ajifanye zuzu lenye akili sio...πππUkijifanya wewe ndo unaakili logic za kutosha Yani itakushinda mapema sanaπππ
Tatizo ni wanawake ...Mwanamke anaweza kuishi na kuolewa na mwanaume ambaye hampendi labda kalazimishwa na wazazi ila mwanaume hawezi kabisa.Bro kutambua thamani ya mwenzio na to cherish it ni jambo linahitaji maamuzi yasiyo na unafiki ndani yake...
ππNdugu usifanye hilo kosa la kuingia na akili namaanisha unaoana na mtu hamfanani chochote hawez kuwa unavotaka Sasa ukitaka utimamu π― ndo utaharibu inabid nawe ulegeze fuvu ππKomenti yako ya kwanza nimeipotezea, ila sasa naona umedhamiria
Yaani kama unanisema mimi[emoji23]
Mimi huwa ninaamini ndoa inahitaji uingie na akili zako timamu, ila wewe unasema tusiingie na akili timamu
Usinivuruge tafadhali[emoji23]
Swadakta Yani unaakili zako ila unajifanya zezeta tu πππSo kwa maana nyingine mmoja ajifanye zuzu lenye akili sio...π
Watu Hao sikuhiz ni nadra kuwapataIla ndoa raha kila mtu akiwa anajua thamani ya mwenzie.
Bahati mbaya watu sasa wanaishi nyumba moja ila wapo matumatu hawaaminiani tena.
Komenti tulivu sana.Ndoa ni jambo la kheri matatizo ni sehemu ya maisha SEMA yanapozidi Inakuwa mateso so tuelezane ukweli kwani mnapokuwa wanandoa ninyi ni kitu kimoja tujitahidi kuzikumbuka ahadi zetu kuanzia kwenye uchumba Hadi ndoa.yale majina tuliyokuwa tukiitana wakati wa uchumba tusiyaache.mbna mambo yatakuwa vizuri tu.
Wanaotoka kwenye ndoa zenye mateso huwa ni watu wajasiri Sana...nadhani shida ipo kwa jamii jinsi itavyomchukulia aliyetoka n ugumu wamaisha wengi huvumiliaTuondoe hizi aibu maana ndo zinazotesa watu
Na mwisho wa siku yakikufika Yule mbabe anashangaa huyu si zuzu langu jamani haliwezi ishi bila Mimi wa logic ππSwadakta Yani unaakili zako ila unajifanya zezeta tu πππ
Kwa kuwa everything looks miserable, a life alone is a lonely life.Yaani kwako usitamani kurudi? Kwakuwa yupo nani anayekukera?
Kama inaumiza unatoka Demi kwa nini uteseke ilihali amani hakuna hata kama ana maokoto...sometimesisi wanaume baadhi tuna gubu balaa tukiona huyu hawezi bila mimiNami nafikiria kutoka.
Eee mwenyezi Mungu nisaidie
kabisa mwanangu wanasema siku hiz " mbinguni tutapewa mwili mpya"Binafsi Moyo wng hautamani Kula Vibaya sema ni Maisha tu yamefanya iwe hivyo. Siku nikizipata naanza kujenga Mwili kabla ya Nyumba