Ndoa zina matukio jamani

Labda wewe ndio hujui logic ya kataa ndoa Nenda kajifunze!


Sasa kama unafunga ndoa mamilion na inavunjika lengo la ndoa ni nini ?


Yani unakubali ndoa siku hizi zinavunjika ila huoni logic ya watu kukataa ndoa. Una kichaa

Tatizo hufikiri unajibu tu.

Kama mmeanzisha kampeni ya KATAA NDOA nia yenu ni ndoa zisifungwe.

Kama ndoa zinafungwa kampeni yenu inafeli. Hii haijalishi hizo ndoa zitavunjika ama la.

Au kampeni yenu ni TOA TALAKA VUNJA NDOA?
 
Hata wenye pesa zao na wanatoka out kila siku wanayo matatizo mengi ya kutosha.

Yaani watu mkishaoana tu mnaanza kuwa maadui sijui tatizo nini.
 
Hata wenye pesa zao na wanatoka out kila siku wanayo matatizo mengi ya kutosha.

Yaani watu mkishaoana tu mnaanza kuwa maadui sijui tatizo nini.
Mkuu ndoa zenye furaha zipo ila ikitokea umeingia kwenye ndoa ikawa haifai unatoka tu hakuna la ajabu, watu wanaachana kila siku. Wengine wanaacha hapa na wanaoa pale na ndoa inadumu vizuri tu.

JAMBO LA AJABU NI KUTAKA TUFANANE. UMEOA UNATAKA WENGINE WAOE, HUJAOA UNATAKA WENGINE WASIOE, NDOA YAKO IMEVUNJIKA UNATAKA ZA WENGINE ZIVUNJIKE. UJINGA UJINGA TU
 
Ndoa ni USHINDI
Ndoa ni FURAHA
Ndoa ni AMANI
Kubali Ndoa tumia kibunda Chako.😀😀😀
KATAA NDOA

OKOA KIBUNDA, KATAA UMASIKINI

UKIOA UTAPIGWA TU


 
Ndoa nzuri na zenye amani zipo.
Mimi sipingi ndoa kama mtu anataka, na hata akiachana na ndoa siwezi nikamjudge.
Yote maisha.
 
NDOA NI LAANA, NDOA NI UTAPELI

NDIYO MAANA WANATALIKIANA

ME ANACHUNWA NDOANI

MWANAMKE ANAFAIDIKA

ME ISHI MAISHA MAREFU SASA


KATAA WIZI WA NDOA
UPUMBAVU.

Ndoa inaweza kuwa laana kwako na si kwa mwingine.

Ukioa mwizi si lazima na mwenzako akioa basi kaoa mwizi.

Wapo watu wapo kitandani wanahudumiwa na wake zao na hakuna ndugu wala rafiki anayehangaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…