kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Umeolewa?Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
ni kweli ila ndoa za wasomi ni shda zaidNa ieleweke kuwa hamna ndoa isiyo na changamoto, iwe ya msomi au la..
Nale, umeongea theoretically sana, in real sense mtu(hasa mwanamke) akisha kuwa ana devote 100% kwenye kazi hawez kuwa mama au mke kwa 100% sema wanaume huwa wana wavumilia tuu, ila women cant have it all.Thing is, elimu inatakiwa kukukomboa kifikra. Ndo maana kwa mtu anayejielewa halafu akapata elimu, they will be even better kama mama ama mke sababu wata play their parts accordingly. Kama ni kazini atakuwa 100%, akarudi nyumbani kama mke atakuwa 100% na kama ni mama atakuwa 100% kwa watoto wake.
And this applies to men too. 🙂
Umeoa?Mie nadhan heshima ktk ndoa inategemea malezi na makuzi, habari ya shule kumbuka nalo ni jambo jingine. Kwa imani yangu mie, mume ni kichwa lakn iwapo mke ameenda shule LIMBUKENI ni kweli heshima hupungua hususani baada ya kuwa na wigo mpana wa watu anaokutana nao ktk majukumu ya kila siku. Hivyo, shule yao au pesa yake humpa jeuri na kuona mume wa kazi gani? Hili halina ubishi kwa asiye na malezi au maadili mema ya kidini. Ndiyo maana wengi wao huishi peke yao au kuishia kuishi na waume wasio na shule kama yao, na hapo ndio vijana wanaopenda pesa au kuendesha magari burebure hupatia michongo.
I like your comment na mimi nina uzoefu maana wangu ana PhD. Nadhani umenipata NalendwaNale, umeongea theoretically sana, in real sense mtu(hasa mwanamke) akisha kuwa ana devote 100% kwenye kazi hawez kuwa mama au mke kwa 100% sema wanaume huwa wana wavumilia tuu, ila women cant have it all.
Sio kama uwazavyo weweni kweli ila ndoa za wasomi ni shda zaid
asiye soma ana ka advantage kdogo
ni kweli ila ndoa za wasomi ni shda zaid
asiye soma ana ka advantage kdogo
I like your comment na mimi nina uzoefu maana wangu ana PhD. Nadhani umenipata Nalendwa
Sio kama uwazavyo wewe
Mbona munajiasses wenyew subirini muasesiwe!!!Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
exceptions huwa zinakuwepo, ila realy hard working women kwenye masiala ya kazi nyingine huwa wana end upa being bad mumsNimewaelewa wakuu. when it comes to "having it all" ni uamuzi kwa kweli but,...Yes We Can!
Inategemea na uwezo wa mtu na upangiliaji wa majukumu. Nimeona humu humu ndani wanawake ambao ni wake na wamama pia na walishuhudia jinsi wanavyofanya yote hayo, na wanaweza. So, inawezekana kama kutegemea na mazingira ya mtu.
Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
uko sahihi sana . tusiwape kasoro waliosoma hapana wako wanawake hawajasoma ni matatizo kweli kweli , haya mambo ni tabia na malezi.Sio kweli kwamba sio wife materials. Kuna wanawake wengi tu walioenda vidato na ni wife materials wa kufa mtu.
Mwanamke wa nguvu na anayejielewa, haijalishi how far she went to school, atatimiza majukumu yake ipasavyo kama mke au mama kutokana na mazingira husika.
Inapendeza sana na hakuna raha kama kuwa mwanamke msomi na anaejielewa vizuri inapokuja kwenye majukumu ya mama/mke. Familia haitatetereka. We are the Pillar of the Family, na tukiwa na shule ndo nguvu inaongezeka.
Anza na ya baba ako nae mama ako.... Kama hawajasoma tupe mrejesho ndoa zao zikojeMe huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
Hahaha
nayaona pia mitaani huku, ila wasomi labda kdoogo kada ya ualimu ndio ni wife material.
Tena wenye elimu ya kawaida ndio wengi wenye mafanikio Kwenye kila nyanja Kiuchumi wengi wao wako byee kiasi chake, Family zao ziko sawa hawayumbishwi na dunia. Lakini kusoma sana ni kuzuri endapo msomi huyo atapata kile alichokua anakitafuta wakati wa masomo yake, shida itakuja pale asipokipata alichokisotea hata maisha ya doa kwake huwa sio muhimu hivyo hata kama ataoa ama kuolewa bado amani ya moyo huwa hawana.Inategemea mkuu, kikubwa ni mapenzi. Kuna watu hawana elimu sana lakini wana familia bora na zenye nguvu kuliko wenye elimu zao.