Ndoa za wanaJF zikawe free in jesus name

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,856
Najua wanandoa wengi wanashinda kwenye mitandao ikiwemo JFkuondoa msongo wa mawazo kwenye ndoa na sio kwamba wanatamani kuchat muda wote.

Nawapongeza waanzilishi wa JF,hawajui wanaliwaza wangapi kwenye ndoa zao.Mnaponya wengi sana else thread za misiba kila siku.

Asubuhi ya leo Jumanne any spirit of confusion be destroyed in jesus name.

Ndoa za JF zilizo kwenye hali mbaya zikawe huru in Jesus name.
 
Chaki usiache kuombea ndoa hasa za jf

kumbuka kuna thread watuwanaleta wameumizwa kiutani uwezi amini ila ni kweli kabisa

nilikuwa na mtu leo ananlalamikia katika maongezi akusita kusema amewahi omba msaada wa mawazo jf na kutaja ubini anaotumia
nasikitika kuikumbuka hiyi thread na nilimjibu nenda kwawazazi wenu mkamalizane jf utaishia kupata ndoa yapili

nasikitika mpaka namwacha akujua naitwa nani ..ila nimeguswa kila mwenyepumzi na aombee wanandoa waliopo na watarajiwa

praise the lord
 

sasa ulivyojieleza hapa si kashakujua
 
Kama si warohoni vigumu kunijua ....else uwe umempokea YESU KAMA BWANA NA MWIKOZI WA MAISHA YAKO

mmmmmmh mtu umeongea nae live matatizo yake tena ni mwanajf mwenzio akipitia haya maandishi hawezi kukujua kwa sababu hajaokoka??????????,,
 
mmmmmmh mtu umeongea nae live matatizo yake tena ni mwanajf mwenzio akipitia haya maandishi hawezi kukujua kwa sababu hajaokoka??????????,,

Usihofu Mpendwa wanuruni twatambuana kinuruni
 


In jesus name uhamie CCM
 
Mungu ibariki ndoa ya gwajima na flora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…