Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,430
- 34,447
Miso ni nini ?Aisee Dunia imekwisha kitoto Cha form 3 kimekuja dukani kununua miso...nimeshangaaa
Miso ni nini ?Aisee Dunia imekwisha kitoto Cha form 3 kimekuja dukani kununua miso...nimeshangaaa
MisoprostalMiso ni nini ?
Wee jkt kwa mujibu wameenda mda gan? Akati hata mtihani wa 4m 6 hawajafanya.
Hawa si wanao enda kwa maombi yao binafsi. Ndo wakiokutwa na ngomaaa. Lol
DuuùhMisoprostal
Mifepristone
Wanatumia kupunch Mimba
Dawa za kutolea mimbaMiso ni nini ?
We umejuaje kama hawasomi?Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni.
Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
NB: Graduate with A's not with AIDs
MnoIla chuo kungekuwa na vikao vya wazazi au wazazi wangekuwa wanafanya safari za kushtukiza wangejionea mengi
Anyway ile ni shule ya watu wazima. Yaani Adults
Kuna mshikaji niliishi nae Hostel, alikuwa anajibandulia mtoto wa kiislamu, tuliporudi mwaka wa pili Akaamua kuoa kabisa 😅