Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
Yesu anasema kuwa hajaja kutengua Torati bali kutimilizaKweli sisi wakristo tumepewa agano jipya baada ya Kristo kufa msalabani.
Ndio maana hata zile adhabu za kule agano la kale hazitumiki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu torati ni nini?na inahusisha vitabu ganiYesu anasema kuwa hajaja kutengua Torati bali kutimiliza
Andiko tunaomba?Katika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na wanawake 4, kwanini na mimi nisiwe na wanawake 4?
Wajuzi wa biblia mje hapa, waislamu tafadhali sana msilete matusi wala chuki za kidini.
Mungu alileta agano la jipya na amri mpya na amri kuu ni upendoKatika Biblia Jacob alifanikiwa kuzaa na wanawake 4, kupitia hao wanawake 4 akazaa nao watoto 13, na hapo ndipo yakapatikana mataifa 12 ya Israel, hili limekaaje? Sasa kama Jacob alikuwa na wanawake 4, kwanini na mimi nisiwe na wanawake 4?
Wajuzi wa biblia mje hapa, waislamu tafadhali sana msilete matusi wala chuki za kidini.
Wewe oa wanne kijana,ikiwa biblia imemuongelea huyo 'mshikaji' alizaa na wanawake wanne sasa why uwe na mashaka?achana na sheria za Italia,chukua maandiko ya mungu,fata nyayo za Jacob tu sasa maana hakuna namna...!
Kweli sisi wakristo tumepewa agano jipya baada ya Kristo kufa msalabani.
Ndio maana hata zile adhabu za kule agano la kale hazitumiki tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Mungu hakuumba adam na wakina Eva aliumba Adm & Eva tu angeumba wanawak wawili nahs hapo ingekuwa ruksa kbsa