tuulize sie wafugaji tukueleze. Ng'ombe aliezaa mara moja siku ya kwanza anakamuliwa maziwa yanaitwa colostrum, na hayafai kunywa anapewa ndama. baada ya siku tano hayafai kunywa chai for the next three days na yanagandishwa (kwetu tunaita dang'a,
OLESAIDIMU saidia mama yeyoo). huo mtindi ni balaa, mtamuuu, mzitooo na hauuzwi, hata majirani unawapa bure. Baada ya siku saba maziwa yanakamuliwa kwa ajili ya chai. Sasa ng'ombe ambayo ilishazaa 10 times hiyo colostrum yake kwanza inatoka kama maji. na unapoanza kukamua maziwa mazito, krimu kama kawa, ila ukishakamua mnooo hayawi mazito.
haya paste hapo kwenye krimu yako uone goole translator itakupa nini:baby::baby: