Kwa vijana wenzangu wa kiume mliopo katika uchumba sugu 2021 fanyeni maamuzi magumu

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Iwee umejipanga au haujajipanga 2021 fanya maamuzi magumu kama kweli binti unampenda na una future nae mapema aina ya maamuzi ambayo unayotakiwa kuyafanya

1. Maamuzi ya kwanza nyumbani kwao Unatambulika na wewe kwenu wewe wanamtambua

2. Maamuzi ya pili tia mimba iwe umejipanga au haujajipanga

3. Maamuzi ya nne peleka barua ya uchumba nyumbani kwao iwee umejipanga au haujajipanga

4. Tangaza ndoa mapema hata kama haitafanyika 2021 basi hata 2022 fanya hivyo ili mradi binti awe na uhakika naenda kuolewa Nani

5. Maamuzi ya mwisho peleka kishika uchumba hiyo ndo hatua ya mwisho

Kama kuna maamuzi mengine unayafahamu hebu yaweke hapa tuwaidie vijana waliopo ktk uchumba sugu
 
6. Tia mimba afu mfukuze akaishi kwa mama yake baada ya kujifungua arudi ila mtoto abaki kwa bibi yake
 
Mungu awaongoze vijana kwenye jambo hili jema na lenye baraka.

Mkumbuke kumshirikisha Mungu kwenye kila hatua ili aweze kuwasimamia kufanya maamuzi sahihi.

Happy new year
 
Wazinzi mlio kubuhu Uzi wenu huu
Oaneni tu Jamani


HAPPY NEW YEAR.
 
Ngoja tuendelee kuchakata mwili(k) kuwekana ndani ni kujitafutia visukari vya utotoni
 
Kwa wale vijana wenzangu haswa mliopo katika mahusiano sugu 2021 mnatakiwa muanze kuelewa mtakuwa mnaelekea njia Gani kati ya kuacha, kuachwa au kubakia katika mahusiano uliopo kwani unatakiwa uwe na majibu mapema.

Vijana wengi wamekuwa wakijifariji Ohoo nina mchumba wangu nina mwaka wa nne au tano tumepitia up side na down kwao natambulika na wananifahamu lakini naomba niwambieni ukweli.

Uchumba ni sawa na mchezo ni sawa na mchezo mpira anayeshinda ndo anabeba Kombe la ushindi sasa wewe jisahau jifanye mtu wa malengo, mipango wakati haujatia hata mimba miaka yote utakuja kuumia,kumwaga machozi,kuumwa hadi kuchanganyikiwa hakuna kitu kinachouma kama mtu kuachwa.

Ushauli wangu kwa vijana kama kweli unampenda na Hutaki kumpoteza tia mimba basi hapo inatosha kabisa
 
Uchumba sugu sio mzuri, lakini unasaidia saaana kujua tabia za mwenzi kwa undani.

Kama kuna mambo alikuwa anafake, mkikaa miaka mi3, Mi4 au mi5 hapo utakuwa ushajua mbivu na mbichi, kusuka au kunyoa.

It worked for me once, though impact yake siyo nzuri kwa jamii, wanakuona hueleweki, muhuni muhuni tu, lakini wewe unajua unafanya nini.
 
Hakika mkuu..

Mabaharia tunasema tunaweka grisi,,kwenye joint.

Weka mimba kwanza,,kulainisha mambo..
Mfano.
-- mahari kubwa.
-- wazazi wa mchumba hawakutaki.
-- mchumba mkorofi.

Hizo ndy zetu mabaharia..

Hahahaha broo upo vizulii
 
Hakika mkuu..

Mabaharia tunasema tunaweka grisi,,kwenye joint.

Weka mimba kwanza,,kulainisha mambo..
Mfano.
-- mahari kubwa.
-- wazazi wa mchumba hawakutaki.
-- mchumba mkorofi.

Hizo ndy zetu mabaharia..
Kama unamtaka Mwanamke Serious na hutaki usumbufu baadae, weka mimba

Ushauri murua
 
Nimeelewa last para tu yenye ushauri, zingine zote porojo tu.

Tieni tieni tieni kwa moyo mmoja...!!
 
Back
Top Bottom