Ndoa za siku hizi

hahahah!shemeji waeleze hao.hivi hawa ni wanawake wa wapi wasiojua na hili?

Sijui akifua kufuli ya mzee anaona amepungukiwa na nini? Sijajua wanatokea pande gani za Tanzania wasiko fua kufuli za waume zao bila shaka wakimbizi wa Congo hawa.
 
kudos Mwanajamiione......very well said......mimi wangu ananisaidia sanaaaaaaa and i love him very much for being who he is......ni mpishi mzuri tu and he doesn't mind helping out in the house chores....i guess im one of the lucky ones? :)
 
Nani aliyekudanganya Miafrika inabadilika?
Toka tupate uhuru unacho cha kujivunia kuwa eti Tanzania nayo inasonga mbele? Yeah naweza kusema inasonga mbele na tumebadilika siku hizi tunajiexpress hayo mabadiliko. We vp umewahi kujiexpress? Kama bado basi wewe upo nyuma ndugu yangu.

Hapa kuji express no kabisa!
 
Kweli kabisa Nyamayao ikifika hapo sasa huyo mama atakuwa amejisahau kwa kiasi kikubwa sana,itabidi atafutiwe washauri waanze kumpa somo tena kwa upya kuhusu ndoa.

Labda uwe muhindi ndo utampa dada kukufulia nguo za ndani. mimi hata nguo zangu za kawaida hafui dada. ila tu napigania umuhimu wa kusaidiana mume na mke kwenye ishu za home kama vile mnavyotaka tusaidiane kwenye ishu za expenditures.
 
Mbona we hufui ya mkeo

Kwani wajibu wa kufanya usafi ndani ya nyumba ni wa nani? Mwanamke ni pambo la nyumba ukinuna watu watakuwa hawafiki kwako kukutembelea mwanamke ni usafi moja wapo kufuli ya mmeo sio mmeo anavaa kufuli wiki nzima wewe unaona sawa tu akifika ofc inatema harufu
 
jamani hizi comments zenu nyingine loh msijetupa mbinu bure maana wengine wanawezaona hii kama njia ya kumzuia Fidel kumega mega hovyo- si utaona aibu inavyotema ukimvulia kimwana?
 
Kwani wajibu wa kufanya usafi ndani ya nyumba ni wa nani? Mwanamke ni pambo la nyumba ukinuna watu watakuwa hawafiki kwako kukutembelea mwanamke ni usafi moja wapo kufuli ya mmeo sio mmeo anavaa kufuli wiki nzima wewe unaona sawa tu akifika ofc inatema harufu

na mimi nakwambia wazi shemeji,
asipoifua wapo watakaofua tena kila siku na kwa ustadi mkuu
 
I hate this mentality kwamba mume afanyiwe, mume afanyiwe, halafu mbaya zaidi ni sis wanawake ndo tunapreach huu ujinga, sisemi kwamba maid hatakiwi kusaidiwa kazi no, nachosema hata baba asaidie kazi inapobidi. na kwa taarifa yako pretty, hawa viumbe waitwao wanaume wakitaka kulala na maids, barmaids, vichaa hata mama yako au sister wako, wanafanya tu, tena bila kujali kwamba huwa una amka saa kumi kumchemshia maji , kumtayarishia breakfast na kumnyosheea nguo. so i would advise you to find another way of thinking na siyo eti nikimfanyia kila kitu ndo hatatembea na housemaid.

naomba nichomekee ishu hapo, ma best frnd yalimkuta hayo, katoka kujifungua jana lakini leo anamuwajibikia mumewe kama kawaida, maid afanyi lolote kuhusiana na mume wake ndivyo alivyokuwa ameshamzoesha, yule baba alitembea maid mpaka mimba bila mama kujua lolote, cku hiyo mama akamshtukia binti kwamba mjamzito, binti kakanusha, wamekaa kdgo binti akaomba ruhusa kwenda kwao kusalimia atarudi baada ya muda, mama kamruhusu, kumbe baba alimpeleka binti kwa frnd wake akakae huko kidogo ili amtoe ile mimba, mumgu c athumnani wapo marie stopes me na ma frnd tunaingia tunampeleka mwanae alipata kahoma tunawakuta wapo hapo, mama pressure juu ndio ikajulikana baba alimleta pale amchomoe hiyo mimba, palikuwa hapatoshi pale...li mwanaume linapatiwa/fanyiwa kila kitu na mkewe lakini mambo ndio kama haya....anaowatetea hawa viumbe labda hayajamkuta, yakimkuta atakaa kimya.........
 
Kwani wajibu wa kufanya usafi ndani ya nyumba ni wa nani? Mwanamke ni pambo la nyumba ukinuna watu watakuwa hawafiki kwako kukutembelea mwanamke ni usafi moja wapo kufuli ya mmeo sio mmeo anavaa kufuli wiki nzima wewe unaona sawa tu akifika ofc inatema harufu
kwani mi mamake? jitu likiwa chafu ni chafu tu, hata aibu eti uvae kufuli wiki nzima kisa mkeo hakufulii, kwani we kilema!
 
Ukweli ndoa za siku hizi kazi kweli kweli na sisi kina baba tunaofanya kazi na wake zetu pia wanafanya kazi ,economically we are enjoying ,lakini the other side socially tunawakosa wake zetu , kuanzia asubuhi dada anaandaa mtoto aende shule , amuogeshe ,amlishe ,amvalishe na ampandishe garini, mama bado yuko ndani anajiremba , baba na watoto wako tayari kuondoka anamsubiri mama , akitoka huko malalamiko yanaanza nimechelewe saana baba nanii jitahidi niwahi jamani(so selfish) wakati yeye hajagusa kitu and ontop of that ametuchelewesha ,ukiwa mkali siku hiyo ananuna na akirudi nyumbani ni kulalamika tu nimechoka saana , lakini wakati mwingine njiani wakati wa kurudi unamuuliza siku yako ilikuwaje leo? anasema sio busy saana na akifika home bado amechoka saana ,ataangalia tv na kuuliza watoto wamekula na kulala ,kweli kabisa kuna shida kubwa kwa wake zetu .
 
nin maana ya kuwa na mke sasa,KAMA YEYE HAJALI!....................
 
naomba nichomekee ishu hapo, ma best frnd yalimkuta hayo, katoka kujifungua jana lakini leo anamuwajibikia mumewe kama kawaida, maid afanyi lolote kuhusiana na mume wake ndivyo alivyokuwa ameshamzoesha, yule baba alitembea maid mpaka mimba bila mama kujua lolote, cku hiyo mama akamshtukia binti kwamba mjamzito, binti kakanusha, wamekaa kdgo binti akaomba ruhusa kwenda kwao kusalimia atarudi baada ya muda, mama kamruhusu, kumbe baba alimpeleka binti kwa frnd wake akakae huko kidogo ili amtoe ile mimba, mumgu c athumnani wapo marie stopes me na ma frnd tunaingia tunampeleka mwanae alipata kahoma tunawakuta wapo hapo, mama pressure juu ndio ikajulikana baba alimleta pale amchomoe hiyo mimba, palikuwa hapatoshi pale...li mwanaume linapatiwa/fanyiwa kila kitu na mkewe lakini mambo ndio kama haya....anaowatetea hawa viumbe labda hayajamkuta, yakimkuta atakaa kimya.........
This is what i am talking about.
 
Siwezi kubadili kwa kuwa uzoefu wangu unaonyesha NACHOKIFANYA WIFE ANAKIFAGILIA KICHIZI. Hakuna serengeti boy anayeweza kuingia anga za Chrispin, wenyewe wanaujua mziki wangu.

mie mi mwanaume iliyobakia na akili za kuvukia barabara kama yako inanikera kweli....wewe unadhani ndoa ni mziki tu?.....
 
Ukweli ndoa za siku hizi kazi kweli kweli na sisi kina baba tunaofanya kazi na wake zetu pia wanafanya kazi ,economically we are enjoying ,lakini the other side socially tunawakosa wake zetu , kuanzia asubuhi dada anaandaa mtoto aende shule , amuogeshe ,amlishe ,amvalishe na ampandishe garini, mama bado yuko ndani anajiremba , baba na watoto wako tayari kuondoka anamsubiri mama , akitoka huko malalamiko yanaanza nimechelewe saana baba nanii jitahidi niwahi jamani(so selfish) wakati yeye hajagusa kitu and ontop of that ametuchelewesha ,ukiwa mkali siku hiyo ananuna na akirudi nyumbani ni kulalamika tu nimechoka saana , lakini wakati mwingine njiani wakati wa kurudi unamuuliza siku yako ilikuwaje leo? anasema sio busy saana na akifika home bado amechoka saana ,ataangalia tv na kuuliza watoto wamekula na kulala ,kweli kabisa kuna shida kubwa kwa wake zetu .
Mtakoma, ndo mjifunze na nyie kutake care of home affairs.
Mi kuna mtu namjua akiamka asubuhi kabla hajaenda job anafua napkins za mtoto anaandaa wanae mwenyewe na akirudi anawaogesha mwenyewe na kuwalisha na kuwalaza. hata kunakuwa na bonsd kati ya watoto na baba, si wengine wanawaza wao wakiamka kila kitu tayari waondoke, wakirudi wapitie bar wapige story na barmaids warudi wakute everything is ready walale, hata hawajui maendeleo ya watopto, shame!
 
Back
Top Bottom