Bado kidogo
Member
- Feb 4, 2013
- 12
- 2
Huu ndio ukweli! asilimia 80% za hufungwa wakati mimba ina miezi zaidi ya mitatu, 18% wakati wana watoto tayari na 2% wakati wamekaa pamoja kama mume na mke kwa zaidi ya miaka mitatu. Kwa takwimu hizi 0% ndio ndoa sahihi, sasa kuna haja gani ya kwenda kanisani! Mbaya zaidi hata harnmoon hakunaga kabisaa!hapo sasa,maharusi wengine wanakuwa na watoto kabisa.... siku hizi hakuna kufunga ndoa ni kuzibariki tu!!!!
Ni kusubiri muda wa vibweka ukumbini!