Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa..

Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu.

Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
We umeona upande mmoja tu?
 
😂😂 eeh ndio . Wanasema ni wajibu wetu na any tatizo likitokea wanasema ni mwanaume kafeli, 😂 huyu mjinga mmoja Robert Heriel Mtibeli ndio anasema hivyo
Kaka achana na watu aina ya Mtibeli,wanatafuta namna ya kupata wanawake humu jamvini, kila hoja wanaelekeza kuwaremba remba wanawake kwa malengo mahususi!
Kwa tuliopitia adha na ujinga wa tuliodhani ni partners wetu wa maisha, tunajua maumivu ya kuteseka kwa ajili ya Kesho ya familia, huku wenzi wakiwa na mipango Yao vichwani na kutafuta namna ya kututumia kwa malengo fiche!

Nasema hivi, kuoa ni Safi ukipata mtu mwenye heshma ya kweli,na mnyenyekevu, kinyume chake umeumia baba,tena maumivu yake ni bora kupigwa virungu vya polisi!
 
"Shule zifunguliwe"

Kwa kweli zifunguliwe haraka sana.
 
Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
Asikudanganye mtu, haja zina mazingira yake mkuu, huwezi simama kama
  1. Mwenza wako ni mropokaji ukimsahihisha anakujibu hovyo
  2. Mwenza wako ni kidomodomo
  3. Mwenza wako ni kiburi tupu
  4. Mwenza wako hakusikilizi
  5. Mwenza wako hatulii
Lazima kiu ya maji ikatwe na maji siyo mirinda wala pepsi
 
Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa..

Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu.

Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
''Utafiti'' wako umekosea sana. Hata wanaume wenye uwezo wa kutekeleza wajibu kote kote, ndoa itakuwa mashakani iwapo watachepuka. Hii ni kwa sababu mapenzi (uhusiano wa mke na mume) haugawanyiki. Siyo kama chakula ambacho mtu akila akishiba basi anakuwa ametosheka.
 
Kaka achana na watu aina ya Mtibeli,wanatafuta namna ya kupata wanawake humu jamvini, kila hoja wanaelekeza kuwaremba remba wanawake kwa malengo mahususi!
Kwa tuliopitia adha na ujinga wa tuliodhani ni partners wetu wa maisha, tunajua maumivu ya kuteseka kwa ajili ya Kesho ya familia, huku wenzi wakiwa na mipango Yao vichwani na kutafuta namna ya kututumia kwa malengo fiche!

Nasema hivi, kuoa ni Safi ukipata mtu mwenye heshma ya kweli,na mnyenyekevu, kinyume chake umeumia baba,tena maumivu yake ni bora kupigwa virungu vya polisi!
U said it all man. Pole kwetu ila i hope tume grow through the shit we faced
 
Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa..

Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu.

Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
Bado mnawaza ndoa tu!? Kuna nini cha ajabu kwenye ndoa ambacho nje ya ndoa hukipati!? Upambane kutafuta hela na bado upambane kuwaza namna ya kumridhisha binadamu anayekula hela zako!!!?? Mimi na hela zangu nazitumia kutafuta mttoto mzuri wa kuniridhisha na siyo mimi kumridhisha then anarudi kwao nabaki na maisha yangu.
Ndoa ni utumwa, Ndoa ni utapeli
#KATAANDOA
 
I still repeat

No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
"Mtoto wa kiume" kuzungumzia govinda za wanaume ni ishara mbaya mno, ni wazi unapakuliwa na mbaya zaidi unajitangaza kila post! Jamii Forums imevamiwa aisee, makocho kila kona!
 
Bado mnawaza ndoa tu!? Kuna nini cha ajabu kwenye ndoa ambacho nje ya ndoa hukipati!? Upambane kutafuta hela na bado upambane kuwaza namna ya kumridhisha binadamu anayekula hela zako!!!?? Mimi na hela zangu nazitumia kutafuta mttoto mzuri wa kuniridhisha na siyo mimi kumridhisha then anarudi kwao nabaki na maisha yangu.
Ndoa ni utumwa, Ndoa ni utapeli
#KATAANDOA
Utakaa na mwanamke ila utaoa?
 
Back
Top Bottom