Ndoa za siku hizi

Ndoa za siku hizi

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
90
Reaction score
218
Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa..

Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu.

Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
 
Unayoyafanya wewe usitujumuishe wanaume wote.
Hakuna mwanaume asiewajibika kwa mkewe labda unazungumzia vijana.
 
Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa..

Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu.

Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake..
Ndoa za AI ( akili mnemba ).. zimekuwa ngumu sanaa..
 
Back
Top Bottom