Ndoa za siku hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa za siku hizi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by johnson.linus, Feb 25, 2012.

 1. j

  johnson.linus Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Malengo ya upendo na ustahmilivu hayapo to start with
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wamemkimbia mungu wapo bize na mambo ya dunia.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mapethi ya petha ..
  Au ndoa za Victoria Secret
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,804
  Likes Received: 6,583
  Trophy Points: 280
  Wanaume hatuwaridhishi wake zetu.
   
 6. m

  mama-lokatare Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha2aminiani ndio maana ndoa
  hazidumu.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Watu wapo kibiashara zaidi.
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  utamu unapatika kirahisi sanaaaa
   
 9. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo ndoa ikivunjika anaridhishwa na mwanamke mwenzake, au?
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,131
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  mbwembwe nyng mnafunga harusi kwa sifa kila mtu mjin anajua hvyo mitego inakuwa ming kuwapima kama kweli mapenz yenu yapo sawa na ndoa yenu hapo nyi mpo kwe stress za kurecover uchumi ulikopa huko kutengeneza jna wanatokea waondoa stress wa mjini hapa.
   
 11. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,643
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno ndugu.
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Udhungu mwingi, mapenzi ya kuact, cheating, kutoridhia na mengi meengi
   
 13. data

  data JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,804
  Likes Received: 6,583
  Trophy Points: 280

  mmhh? Is this a qn or what!!?
   
 14. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wasiporidhishwa wanaenda kusagana? au wanakwenda kwa wanaume wengine ambao at the end of the day bado hawatawaridhisha?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  tumeacha miiko ya asili, wala hatuko kwenye misahafu ya dini.

  Twajiendea tu shagala bagala.
   
 16. J

  Johnson2012 Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu hawaridhishani mautundu yanaishiaga njiani baada ya kuzoeana
   
 17. m

  m'monga JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni wanawake utaratibu wa mke ndani ya nyumba ume badilika sana kiasi kwamba mwana ume Ana shindwa kuvumiliya iwapo mwana mke atakuwa wa kisasa kama wanavyo sema wao basi kuna %100 ya kuvunjika kwa ndoa yake kwaiyo lazima wakubali kwamba hakuna wanaume wawili ndani ya nyumba mwanamke abaki kuwa mwanamke na mwanaume abaki kuwa mwanaume bila ivo ndoa zita vunjika sana wanawake ndio Ana aslimia kubwa ya matatizo haya ya ndoa na uhuru wao wa wanawake wa kijinga kijinga na kupoteza samani yao
   
 18. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,131
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ndo hvyo!
   
Loading...