Ndoa za siku hizi majanga

Ndoa za siku hizi majanga

Siku na wewe ukioa watakufanyia hivyo, hapo utapata jibu y wanawake hawajatulia?
 
Subiri hyo 0654 iende na maji

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
ukikubaliwa na mke wa mtu ujue anataka kushea matatizo yake ya ktk ndoa na wewe,hakuna mke wa mtu ambaye atatoka nje kama ndani kila kitu safi(labda kama mwanamke huyo asili yake ni kutoa toa)
 
kuna walioletewa virus na waume zao hawana sababu ya kuvitunza zaidi ya kushea na wewe uliyemtongoza
 
kuna ambao mume kanunua ugali wa nyumbani kwake wewe utamsaidia kununua mboga siku ipite
 
Back
Top Bottom