brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,301
Sasa ntatembeaje na mke wa mtu brenda? Feelings?
Yep feelings u heard!😕
Sasa ntatembeaje na mke wa mtu brenda? Feelings?
Shikamoo Amu!!
Tunaolewa Lakini hatujui kwanini tunaolewa
tunaolewa kwa sababu marafiki wameolewa (fashion)
tunaolewa kwa sababu umri unaenda
uvumilivu hakuna, haturidhiki, mapenzi yamekuwa money based
kiukweli wake za watu utulivu F, yani ukitaka kumla no kikwazo..
Habari za mchana wana MMU, nisiwachoshe nataka juwauliza tu dada zangu hivi mkiolewa kwanini hamtulii kwenye ndoa zenu? Kuna wadada wenye ndoa zao karibu 10 wote nimewatongoza wakskubali sema tu nawaonea huruma wanaume zao do sijapiga ila nimeshangazwa na kitendo hicho cha wao kukubali wakati wameolewa
Ni kweli,na waume za watu pia utulivu ni Z
Hata vitabu vimeandika ombeni mtapewa, sasa wewe unashangaa nini?
wake za watu ni sumu, usiombe ukamatwe